Igizo la Wahapahapa

Igizo la Wahapahapa

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
Kwa yeyote aliyekuwa akifuatilia mchezo huu wa redio atufahamishe wale jamaa siku hizi wako wapi? Akina Zodwa, Ray, Sadik, Dulla na Tausi pia kama kuna mtu anaweza kutusaidia picha za waigizaji wote.
 
Wale mkuu nadhani ni kikundi fulani cha wasani wakiwemo CHECHE, JOAN MATOVOLWA, BANANA na wengineo ambao wamecheza video ya ZOBA ya msanii Banana Zoro,Wahapa Hapa Volume 1, huenda ilikuwa ni programe ya muda mfupi ya TACAIDS.

Wajuzi zaidi watatujuza.
 
Yani mie nikipata audio yake yote nitafurahi sn.
 
Hakuna aliyeipata bado?
Naona hakuna mkuu, but cha kujipa matumaini ni kuwa soon zitapatikana tu YouTube kwa maana kuna vitu vingi sana ikiwemo nyimbo, tumekuwa tukivitafuta pasipo mafanikio mara paaap unashangaa ime aploadiwa YouTube.
 
Back
Top Bottom