harunimaiga
Member
- Nov 13, 2022
- 26
- 47
Naona hii imetokana na tukio la Iringa ambako leseni zinatolewa steshenari.
Duh.....!Naona hii imetokana na tukio la Iringa ambako leseni zinatolewa steshenari.
MAWAKALA wa WAFANYAKAZI wa TRA
Tume ikifanya vyema, itaokoa maisha ya wengi na itaibua madudu ambayo yamechukua maisha ya wengi.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilius Wambura ametangaza kukifuta kikosi chote cha wakaguzi wa leseni za magari na watahini wa leseni na kuunda tume ya uchunguzi...
N'daga fijo....Duh.....!
Navalonge swela
Uamuzi mzuri sana japo umekuja kwa kuchelewaMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilius Wambura ametangaza kukifuta kikosi chote cha wakaguzi wa leseni za magari na watahini wa leseni na kuunda tume ya uchunguzi ili kuchunguza namna kikosi hicho kilivyokuwa kinatoa leseni kutokana na ongezeko la ajali za barabarani ambazo nyingi zimetokana na uzembe wa madereva.
#ITVUpdates
View attachment 2525701
HIi imetuliaMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilius Wambura ametangaza kukifuta kikosi chote cha wakaguzi wa leseni za magari na watahini wa leseni na kuunda tume ya uchunguzi ili kuchunguza namna kikosi hicho kilivyokuwa kinatoa leseni kutokana na ongezeko la ajali za barabarani ambazo nyingi zimetokana na uzembe wa madereva.
#ITVUpdates
Huku mtaani ni khatari mtu anajifunza pikipiki asubuhi jioni anaanza kubeba abilia tena mbele ya tarafikiMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilius Wambura ametangaza kukifuta kikosi chote cha wakaguzi wa leseni za magari na watahini wa leseni...
Kazi iendelee kwa kishindo kikuu!Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilius Wambura ametangaza kukifuta kikosi chote cha wakaguzi wa leseni za magari na watahini wa leseni na kuunda tume ya uchunguzi ili kuchunguza namna kikosi hicho kilivyokuwa kinatoa leseni kutokana na ongezeko la ajali za barabarani ambazo nyingi zimetokana na uzembe wa madereva.
#ITVUpdates
View attachment 2525701
ushenzi wa CCM kushindwa kuongoza nchi. kila sekta ni failure!Duh.....!
Navalonge swela
Nyie Visima vya Sabodo mlifaulu?ushenzi wa CCM kushindwa kuongoza nchi. kila sekta ni failure!
Vyanini wakati CCM inna wajibu wa kussuply maji kwa wote!Nyie Visima vya Sabodo mlifaulu?
Hawajui hata mchakato wakeWatu leseni wanaletewa nyumbani sahivi.
Ova
Kuna watu wengi walipewa leseni hawajawahi hata kugusa usukani wa gari wala pikipikiili kuchunguza namna kikosi hicho kilivyokuwa kinatoa leseni kutokana na ongezeko la ajali za barabarani ambazo nyingi zimetokana na uzembe wa madereva.