IGP kujishuhulisha na driving licenses inajionyesha ni jinsi gani nchi yetu imepotea mambo mengi, IGP pls fanya yafuatayo;TRA waondolewe kwenye kutoa hizi licenses, hizi leseni zitolewe na municipalities ambazo zitaunganishwa kwa systems moja (mapato yake ni mali ya municipalities)
Ruhusu private driving schools ziwe zinatoa mafunzo kwa madereva watarajiwa;mitihani ya kuandika kuhusu alama za barabarani, sheria na controls ifanyike chini ya traffic officer's including wa driving test(controlling na observations)viwe ndivyo vipimo muhimu, Traffic officer's kwenye mabarabara yetu wapunguzwe ili kuwa na polisi wengi wa ku patrol mitaani