IGP afuta kikosi kazi cha wakaguzi wa leseni za udereva kutokana na ongezeko la ajali

Ukimaliza mafunzo ya udereva mkaguzi anapewa laki moja ili akupitishe.Usipotoa hiyo hela hutestiwi na leseni hupati
 
IGP kujishuhulisha na driving licenses inajionyesha ni jinsi gani nchi yetu imepotea mambo mengi, IGP pls fanya yafuatayo;TRA waondolewe kwenye kutoa hizi licenses, hizi leseni zitolewe na municipalities ambazo zitaunganishwa kwa systems moja (mapato yake ni mali ya municipalities)

Ruhusu private driving schools ziwe zinatoa mafunzo kwa madereva watarajiwa;mitihani ya kuandika kuhusu alama za barabarani, sheria na controls ifanyike chini ya traffic officer's including wa driving test(controlling na observations)viwe ndivyo vipimo muhimu, Traffic officer's kwenye mabarabara yetu wapunguzwe ili kuwa na polisi wengi wa ku patrol mitaani
 

Mimi mwenyewe nasubiri leseni week ya pili sasa 🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…