KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Ila speed 80 ni ndogo aisee,angalau mwisho iwe 100Hizi bus kengele ya speed huwa inalia 85% ya safari.
Mkuu shida si madereva. Shida ni mfanyabiashara na mbunge pia. Ao askari watamwajibishaje?. Nyerere alikataa haya mambo kuwa Kama wewe ni mfanya biashara Kaa pembeni fanya biashara yako kihalali lipa Kodi. Sasa mtu anafanya biashara alafu ana mamlaka pia. Askali wakipiga faini wanaonywa na wakati mwingine wanaamishwa mpaka vituo vya kaziNi mbinu yake kuyumbisha mjadala, lengo tutumie muda mwingi kumuuliza ana maanisha nini tuache kuhoji tabia za hao madereva na boss wao kuhonga traffic
Kweli kabisaaaKama mbu tu . Nzige hawafi hovyo
Haya mambo ndiyo yananifanya nataka kuwa kiongozi yaani kuna watu wanajikuta miungu watu. AiseeIGP: Ajali ya Shabiby Tunduma
- Ajali ya Shabiby: Inahusisha mabasi ya kampuni ya Shabiby ambayo yanatumika katika safari za Tunduma.
- Faini za Trafiki: Taarifa inasema kuwa hakuna madereva wa mabasi ya Shabiby ambao wamepiga faini kuanzia Septemba 2024.
- Wasiliana NAMI: Ni wito kwa watu ambao wanaweza kuwa na habari au ambao wamepata faini kuwasiliana na mtu anayetoa taarifa hii.
- Kukosekana kwa Heshima za Kisheria: Inasisitizwa kuwa mabasi haya yanaendeshwa bila uoga wa kufanyiwa ukaguzi au kupigwa faini, jambo ambalo linaweza kuashiria ukiukwaji wa sheria za barabarani
Muktadha
Inavyoonekana, kuna wasiwasi kuhusu usalama wa abiria na utii wa sheria za barabarani katika safari za mabasi haya.
Ni muhimu kwa mamlaka zinazohusika kuchunguza suala hili ili kuhakikisha usalama wa abiria na kulinda haki za watumiaji wa huduma za usafiri.
Ikiwa una maelezo zaidi au unahitaji msaada wa ziada, tafadhali nijulishe!
View attachment 3156621
Ufaulu unaongezeka, wanaofaulu wanazidi kuwa mbumbumbu zaidi. CCM oyeeeeKuna shida sana kwenye fasihi andishi siku hizi.
Kuna Mkuu mmoja alisema tunazaliwa hovyo na tunakufa hovyoWabongo tunanakufa kama nzigeeee
Ova