PostGE2025 IGP aonya kuhusu vitendo vya kikatili ''tudumishe usalama''

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura amesema miongoni mwa changamoto watakazokutana nazo wahitimu wapya wa mafunzo ya awali ya Polisi ni pamoja na matishio ya ugaidi wa dunia, uwepo wa dawa za kulevya, usafirishaji haramu wa binadamu na uhamiaji haramu.

IGP Wambura amebainisha hayo jana wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro alipokuwa akifunga mafunzo ya awali ya polisi kwa kozi namba moja ya mwaka 2024/25, akisema kazi za Polisi zinahitaji ushirikiano wa dhati na wa karibu ili kuweza kuzuia na kupambana na changamoto hizo.

IGP Wambura pia akisisitiza kuhusu umuhimu wa usalama kama nyenzo ya maendeleo na ustawi wa binadamu, ametoa wito kwa wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kuweza kudhibiti uhalifu na wahalifu kote nchini Tanzania.

Awali wakati wa maelezo yake, Mkuu wa Chuo hicho Ramadhan Mungi amesema askari wapya 4, 826 wakiwemo wanaume 3, 436 na wanawake 1, 390 wamehitimu mafunzo hayo, huku wanafunzi 217 wakiondolewa chuoni hapo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa nidhamu na uwezo mdogo katika kujifunza.

Katili anaonya vitendo vya kikatili.
Halafu facial appearance IGP anaonekana ni mvuta bangi.
Watu wengi wa mkoa wa Mara ni wakatili, na uvutaji wa bangi kwao ni kitu cha kawaida. Huyo Wambura ni mfano wa halisi wa wakatili na mvuta bangi.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura amesema miongoni mwa changamoto watakazokutana nazo wahitimu wapya wa mafunzo ya awali ya Polisi ni pamoja na matishio ya ugaidi wa dunia, uwepo wa dawa za kulevya, usafirishaji haramu wa binadamu na uhamiaji haramu.

IGP Wambura amebainisha hayo jana wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro alipokuwa akifunga mafunzo ya awali ya polisi kwa kozi namba moja ya mwaka 2024/25, akisema kazi za Polisi zinahitaji ushirikiano wa dhati na wa karibu ili kuweza kuzuia na kupambana na changamoto hizo.

IGP Wambura pia akisisitiza kuhusu umuhimu wa usalama kama nyenzo ya maendeleo na ustawi wa binadamu, ametoa wito kwa wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kuweza kudhibiti uhalifu na wahalifu kote nchini Tanzania.

Awali wakati wa maelezo yake, Mkuu wa Chuo hicho Ramadhan Mungi amesema askari wapya 4, 826 wakiwemo wanaume 3, 436 na wanawake 1, 390 wamehitimu mafunzo hayo, huku wanafunzi 217 wakiondolewa chuoni hapo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa nidhamu na uwezo mdogo katika kujifunza.

Icc inamhusu huyu muongoza genge pa mauaji!
 
Back
Top Bottom