Tunaweza kubishana sana kuhusu kuingizwa kwa kura hizo ama kutoingizwa kwake. IGP Mwema jana alisema hivi walifanya ukaguzi kwa kushirikiana na wadau wote wakiwemo waliotoa madai ya kuona kura hizo lakini hawakubaini kuwepo kwa kura hizo.Hapa polisi na hasa IGP Mwema tunamdai maelezo ya ziada.