Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mallaba, nijuavyo mimi, Karatasi za kura uchaguzi wa muungano ndizo zinazotoka Uingereza lakini zile za Uchaguzi wa Zanzibar, zinatoka Afrika Kusini.Tunaweza kubishana sana kuhusu kuingizwa kwa kura hizo ama kutoingizwa kwake. IGP Mwema jana alisema hivi walifanya ukaguzi kwa kushirikiana na wadau wote wakiwemo waliotoa madai ya kuona kura hizo lakini hawakubaini kuwepo kwa kura hizo.Hapa polisi na hasa IGP Mwema tunamdai maelezo ya ziada.