IGP barabara ya Morocco Mwenge kila siku kuanzia saa 11 Jioni mpaka saa 1 Ni majanga

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Ndugu IGP, siku hizi kila ikifika jioni saa kumi na moja mpaka saa moja jioni kuna foleni ya kutisha njia hii. Watu wanakaa hata masaa mawili.kutoka Morocco kufika Mwenge.

Watu wanakushutumu wewe kuwa Msafara wako wa kutoka kazini, ni sababu mojawapo ya njia kufungwa, ili wewe upite. Hii ni ajabu kwamba mamilioni wanakaa masaa kibao kukusubiri mtu mmoja upite. Hiyo siyo sawa, siyo fair. Kwanza siyo spirit ya uaskari inayotaka iweke raia mbele kabla ya wao binafsi.

Tafadhali tuondolee adha hii maana hii imekuwa kero kubwa,

watu wanachelewa kufika majumbani mwao, foleni ni kubwa sana.

Nakushauri ikibidi utumie helcopter kurudi nyumbani kwako au uchelewe kurudi nyumbani ili wananchi wengi wapungue barabarani.

Uchumi unashuka kwa sababu ya foleni kubwa.

Nawasilisha
 
Hili taifa kila sehemu nikilio tu.
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Muafrika muda kwake sio rasilimali. Ndio maana watu hawawezi lipwa kwa masaa Africa. Kuna muda mwingi sana unapotea kufanya mambo ya kijinga Afrika. 😊
 
Makao makuu ya hilo jeshi yako wapi? Ni Dom au Dar, sasa hii ya kila siku ndio tupigie mstari kuwa, serrikali iko njiani kati ya Dar na Dom?
 
Ndugu IGP, siku hizi kila ikifika jioni saa kumi na moja mpaka saa moja jioni kuna foleni ya kutisha njia hii. Watu wanakaa hata masaa mawili.kutoka Morocco kufika Mwenge.

Watu wanakushutumu wewe kuwa Msafara wako wa kutoka kazini, ni sababu mojawapo ya njia kufungwa, ili wewe upite. Hii ni ajabu kwamba mamilioni wanakaa masaa kibao kukusubiri mtu mmoja upite. Hiyo siyo sawa, siyo fair. Kwanza siyo spirit ya uaskari inayotaka iweke raia mbele kabla ya wao binafsi.

Tafadhali tuondolee adha hii maana hii imekuwa kero kubwa,

watu wanachelewa kufika majumbani mwao, foleni ni kubwa sana.

Nakushauri ikibidi utumie helcopter kurudi nyumbani kwako au uchelewe kurudi nyumbani ili wananchi wengi wapungue barabarani.

Uchumi unashuka kwa sababu ya foleni kubwa.

Nawasilisha
Duh!

IGP naye anafunga njia kupisha msafara wake?Huyo huyo ambaye jeshi la polisi kaligeuza kuwa chombo cha kukandamiza waTanzania?

Abdul na yeye akipita njia hiyo mtafungiwa ; kama ilivyo kwa wanu na wengine, halafu hakuna lolote mnaloweza kufanya.
Ukiambiwa banana republic ndiyo hiyo!
 
Uholanzi nchi inayobeba uchumi wake yenyewe waziri mkuu anakwenda kazini kwa baiskeli, huku kwetu nchi inayotegemea misaada hata mgambo anafunga barabara. Kama sio ulofa ni nini?
 
Hahaha nimecheka mpaka bhasi, na hii ni kweli kosa tu kuna kakikundi fulani kinaforce kiendelee kuabudiwa wakati zama zao na sera zao zimeshapitwa na wakati na wameshachokwa mpaka na watoto.
 
Waafrika tuna ile power trip, mtu akiwa kwenye nafasi flani basi anataka aabudiwe kama Messiah, pumbavu kabisa
 
Muafrika muda kwake sio rasilimali. Ndio maana watu hawawezi lipwa kwa masaa Africa. Kuna muda mwingi sana unapotea kufanya mambo ya kijinga Afrika. 😊
Mimi ningeumbwa mzungu ningebagua mwafrika na ningekaa naye mita 1000000000. Kiumbe cha hovyo kupata kutokea.
 
Kova baada ya kustaafu alifungua BAR na akaaza kulalamika kukosa marafiki...hata huyu subr astaafu one day..
 
Yana mwisho na mwisho upo karibu hao mda si mwingi wataongozwa na ving'ora wakiwa wanaelekea gerezani
 
Waafrika tuna ile power trip, mtu akiwa kwenye nafasi flani basi anataka aabudiwe kama Messiah, pumbavu kabisa
Kwakweli ni upumbavu mkubwa sana. Na hili linasababishwa na wengi kugeuza siasa kama ndio njia kuu ya kuingiza kipato yaani ajira rasmi na bila wao familia zao haziwezi kusonga mbele ndiomana wanashiriko kwenye ufisadi mkubwa na wanaogopa wakitoka wengi watafirisiwa na kwenda jera. Ipo siku tu
 
Back
Top Bottom