Mamlaka tueleze kama kuna utaratibu unaruhusu kuendesha gari hisiyo na namba tunapata hofu tunapokutana nazo Kumekuwepo na gari ambazo zimekuwa zikiendeshwa barabarani bila kuwa na ‘pleti namba’ jambo ambalo kulingana na uwepo wa taarifa za uwepo wa matukio ya utekaji pamoja na visa vya watoto...