IGP Kanja ajitokeza Mahakamani, akanusha Polisi kumteka Mwanaharakati Twaha Mwaipaya

Ikariiah

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
287
Reaction score
314

Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja, amefika binafsi katika Mahakama Kuu ya Milimani kujibu maswali kuhusu kutoweka kwa mwanaharakati raia wa Tanzania, Twaha Mwaipaya, huku akikanusha madai kuwa polisi walihusika katika kutekwa kwake au kumshikilia kizuizini.

Akizungumza mbele ya Jaji Alexander Muteti Jumanne, Novemba 3, 2026, Kanja aliiambia Mahakama kuwa Mwaipaya hayuko chini ya ulinzi wa polisi popote nchini Kenya na kwamba hakuwahi kufahamu kuwa mwanaharakati huyo alikamatwa na maafisa wa polisi.

Kanja alisema alikuwa anafahamu kuwa taarifa kuhusu kutoweka kwa Mwaipaya ilikuwa imeripotiwa katika Kituo cha Polisi cha Ruai. Alithibitisha pia kuwa uchunguzi kuhusu suala hilo unaendelea na kwamba afisa anayesimamia uchunguzi huo alikuwepo mahakamani.

Alipoulizwa kuhusu madai ya watu kutekwa na kutoweshwa kwa nguvu, Kanja aliyakataa akisema polisi hawana tabia ya kuwateka watu na kuwatowesha. Aliongeza kuwa tukio lolote la utekaji linapaswa kuchukuliwa kama kosa la jinai.

Kanja alifika Mahakamani kufuatia agizo la Jaji Muteti lililomtaka ajitokeze binafsi kueleza kinachojulikana kuhusu alipo Mwaipaya na iwapo maafisa wa polisi au mawakala wengine wa serikali walihusika katika kutoweka kwake. Awali, mahakama ilikuwa imeagiza mamlaka husika kumwasilisha Mwaipaya mbele yake akiwa hai au amefariki, pamoja na kueleza mazingira ya madai ya kukamatwa na kuzuiliwa kwake.

Mwaipaya aliripotiwa kutoweka Oktoba 25, 2026, baada ya kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana katika eneo la Kamulu, karibu na Nairobi. Kutoweka kwake kulisababisha shirika la VOCAL Africa na Mawakili wake kuwasilisha ombi la dharura mahakamani ili mamlaka zieleze alipo.

Hata hivyo, licha ya Kanja kufika mahakamani na kutoa msimamo wa polisi, swali kuu bado halijajibiwa: Twaha Mwaipaya yuko wapi, na nini kilimtokea baada ya kutoweka?
 
View attachment 3703912

What next wazee wa Katiba Mpya?

My Take: Kutekana sio dili.
 
Sijawahi kuwaamini polisi tangu nazaliwa.
 
Ni wapumbavu pekee ndo wataamini mwaipaya alichukuliwa na polisi wa kenya.labda uwe ccm ambao vichwani hamna kitu ndo unaweza kuamini Hilo.
 
Back
Top Bottom