Nsumba-ntale
Member
- May 24, 2026
- 15
- 80
Hana cha kupoteza katika umri huo. Anajua iza kiko karibuWakishafikia stage ya kutoa ya moyoni maranyingi huwa hawamalizi mwaka wanakufa
Wamkamate Haraka Vinginevyo Anaivua Nguo GovernmentHuyu mzee na yeye ameamua kuchomoa betri! Alikuwa wapi siku zote?
Mshana, Mahita akiwa nje ya Gwanda ni mtu mmoja safi sana, tokea akiwa IGP. Ila alipokuwa kazini amevaa Gwanda ahhh ni kauzu.Wakishafikia stage ya kutoa ya moyoni maranyingi huwa hawamalizi mwaka wanakufa
Yah ktk hapa kisukari kilimsumbua sana,Ila navyomuona maana hapa kama kdg anaunafuu πMzee Anatuaga Huyo Yaani Anatubu Kuhusu Upendeleo Mkubwa Sana Serikalini
nimeliona hili pia kwa P.mayala naona ameamua liwalo na liweWakishafikia stage ya kutoa ya moyoni maranyingi huwa hawamalizi mwaka wanakufa
EsWakishafikia stage ya kutoa ya moyoni maranyingi huwa hawamalizi mwaka wanakufa
Anaaga Tu Ndani Muda Mfupi Utasikia Mzee Hali KituYah ktk hapa kisukari kilimsumbua sana,Ila navyomuona maana hapa kama kdg anaunafuu π
Ova
Nature yake ni muongeaji sana huyu na wanavyo mpaAnaaga Tu Ndani Muda Mfupi Utasikia Mzee Hali Kitu
Ana Tatizo Pia Wamzuie Asiende Kwenye Media Ataivua Nguo Serikali Zaidi Ya Aliyoyaongea
Ila GT umepitia mengi bongoMshana mahita akiwa nje ya
Gwanda ni mtu mmoja safi sana,tokea akiwa IGP
Ila alipokuwa kazini amevaa
Gwanda ahhh ni kauzu
Miaka fulani huko nlichezaga faulo fulani sasa nkasema niende nkamuone tuone namna ya kulimaliza nkampigia sim kweli akanipa appointment maana alishanijuwa mm mtoto wa mzee fulani maana si alikuwa anajuana na mzee,maana mzee alimjuwa mahita tokea yuko mwadui
Mkuu wa police post huko π mwadui na mzee wangu mwadui mine alikuwa taita
Sasa kosa langu nlimzunguka mzee wangu nkamfata mzee mahita bila mshuwa kujuwa
Ahh kumbe mahita alimtonya mzee mwanao kaja alikuwa na 1,2,3 π msala
Mzee mht akanisikiliza,ahh nlijikuta napelekwa central π pale nlikaa siku 3 bdy nkatolewa
Badaye mambo yalimalizwa juu juu ila adabu walinionjesha,nkajuwa mshuwa ndy aliagiza waninyooshe
Ova