Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Mzee apumzike tu naona ule ugonjwa wa "anencephaly" unadhihiri. Hasira kwa JK ni nyingi sana kwa kuwa mnamo December 2005, JK alimtembelea nyumbani kwake Ukonga na kumkuta na magari zaidi ya 20 aliyokuwa anapora kutoka kwa waliopora huko South Africa. Magari yote yalikusanywa na kupelekwa TEMESA kwa kuwa hakuwa na maelezo ameyapataje. Mahita, Adadi na Tibaigana wali run a 'rogue Plice Unit* within the Police Force. Wakikamata magari yaliyoibiwa kwanza walikuwa wanagawana waoIGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema
"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita