IGP Mahita: Said Mwema alipewa u-IGP kwa figisu

Mzee apumzike tu naona ule ugonjwa wa "anencephaly" unadhihiri. Hasira kwa JK ni nyingi sana kwa kuwa mnamo December 2005, JK alimtembelea nyumbani kwake Ukonga na kumkuta na magari zaidi ya 20 aliyokuwa anapora kutoka kwa waliopora huko South Africa. Magari yote yalikusanywa na kupelekwa TEMESA kwa kuwa hakuwa na maelezo ameyapataje. Mahita, Adadi na Tibaigana wali run a 'rogue Plice Unit* within the Police Force. Wakikamata magari yaliyoibiwa kwanza walikuwa wanagawana wao
 
Uzuri wa Mahita ana authority amri. Ana karma ya kuongoza akitamka unatii. Na hiyo ndio hulka ya kiongozi bora. Hawa pia wana hiyo hulka ya authority Magufuli, Makonda, Kigwangala, mwigulu lakini tatizo hawakutumia ama hawatumii hii karama yao vizuri.

Tuna boss wetu mmoja huku kwa kubeba box naye anayo hii karama. Kila tukimuona tunapanic.

"He who wishes to be obeyed must know how to command" Niccolo Machiavelli, The Prince.
 
Watu wa ccm wakionaga serikali yao inalambishwa shubiri na watumishi huanza kuwashambulia mitandaoni kana kwamba hawakuwatumikia kindakindaki
 
Waisiharamu ni wapumbavu sana kwao UZALENDO NI MAVI NA MZALENDO NI ADUI ...yani badala ya kuangalia masli mapana ya taifa wao wanaangalia udini
 
Mahita alitengeneza kikosi kazi kule mpakani Holili kwa ajili ya kutengeneza pesa, Mwema alikivunjavunja kabisa.
 
Ni tamthilia za kutupumbaza ili tusahau mauaji ya October 29, 30 na 31.
Makonda amempa Madee dili la wasanii wakongwe watoe nyimbo wafanye 'shows' na wapate muda wa kutosha kwenye vituo vya redio na luninga.
 
Kila mtu humsifu yule aliyekuwa na maslahi naye au ana maslahi naye sasa au atakuwa na maslahi naye baadaye kidogo 😳 !

Si ndivyo wabongo wengi walivyo ??!
Au nasema uongo ndugu zanguni ????!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…