Mimi ni mkristo na napinga sana uchafu unaotokea. Ufisadi chini ya serikali ya ccm haufanywi na wakristo tu, hata waislam wanaufanya.
Nikuulize swali. Wewe unatoa mchango gani kuibadilisha serikali iliyopo madarakani ili tuweze kupata serikali nyingine adilifu? Kwanini nyienyie mnaopinga mfumo kristo ndiyo mnahimizana misikitini muipigie kura serikali ya ccm ?
Hautakiwi ulalamike nyambafu mkubwa wewe kwa kitu ulichokiweka madarakani kwa sababu tu eti raisi ni Muislam. Kula matapishi yako mwenyewe na usilalamike sana na mfumo kristo.
Mmeshindwa kujipanga mnaanza kusingizia NECTA. Kila kitu mkishindwa mnatoa visingizio. NECTA hata ikiendeshwa na Shehe Issa Ponda mtalalamika tu kama mnavyolalamika sasa hivi wakati kiongozi mkuu wa nji ni Muislam. Nyinyi mmelaaniwa, ni watu wa mahangaiko, roho zenu hazina amani, shida tu...NJOO TUKUBATIZE UPATE AMANI YA KUDUMU.