GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Poti wangu IGP Wambura Mimi GENTAMYCINE nimeamua leo Kukuambia hili mapema baada ya Kugundua kuwa 95% ya hawa Vijana Wahalifu waliobatizwa Jina la Panya Road wanajulikana na Mapolisi wako na hata Vituoni ila Wanalindwa na hata baadhi ya Askari wako Wanafaidika nao.
Haiingii Akilini Polisi wa Tanzania waliopikwa vyena Kiintelijensia hawajui yaliko Makundi haya ya Wahalifu au hawana Taarifa zao ila Vijiwe vya Bange na Gongo wanavijua katika Kutwa huwa wanaenda huko Kukusanya Mapato huku Wakiwabariki kuendelea na huo Ulaibu pamoja na Biashara.
IGP Poti Wambura tumeharipoti sana Vitendo vya Kihalifu na Wahalifu Wenyewe katika Vituo vyako vya Polisi ila hakuna Kinachofanyika sana sana hao hao Polisi Wanatuchoma kwa hawa Wahalifu na kuanza Kuwindwa ama Kudhuriwa au hata Kuuwawa nao.
Mimi wakiingia TU katika 18 zangu wala sitowachelewesha namaliza na tayari nimeshanoa Mapanga yangu Tukuka kwa Kazi hiyo kwani tumeshachoka na huu Upuuzi wa hawa Panya Road uliobarikiwa na Uzembe wa hali ya Juu wa Askari Polisi wa Tanzania.