IGP Poti Wambura nimeshatoa ONYO kwa Vijiwe vya Wahalifu kuwa wakiingia 18 zangu Majina yao yataanza kuitwa Marehemu

IGP Poti Wambura nimeshatoa ONYO kwa Vijiwe vya Wahalifu kuwa wakiingia 18 zangu Majina yao yataanza kuitwa Marehemu

Polisi wanafanya kazi kubwa sanaaa, ka huamini we pata changamoto itakayokupeleka kwenye ofisi zao
isipokuwa baadhi tu ndo wanachafua hali ya anga na kushirikiana na wahalifu.
Utakapopata changamoto ya kihalifu ndio utajua umuhimu wa polisi sema asilimia chache sana ya polisi ndio wanaharibu na kulishushia heshima jeshi la polisi
 
Kuna watu wanasema watoto mtu anajua kuua we bado hushtuki siku ukisikia kitu cha baridi imepita kwenye mbavu (beto) ndo utajua mi namaanisha nn
 
Poti wangu IGP Wambura Mimi GENTAMYCINE nimeamua leo Kukuambia hili mapema baada ya Kugundua kuwa 95% ya hawa Vijana Wahalifu waliobatizwa Jina la Panya Road wanajulikana na Mapolisi wako na hata Vituoni ila Wanalindwa na hata baadhi ya Askari wako Wanafaidika nao.

Haiingii Akilini Polisi wa Tanzania waliopikwa vyena Kiintelijensia hawajui yaliko Makundi haya ya Wahalifu au hawana Taarifa zao ila Vijiwe vya Bange na Gongo wanavijua katika Kutwa huwa wanaenda huko Kukusanya Mapato huku Wakiwabariki kuendelea na huo Ulaibu pamoja na Biashara.

IGP Poti Wambura tumeharipoti sana Vitendo vya Kihalifu na Wahalifu Wenyewe katika Vituo vyako vya Polisi ila hakuna Kinachofanyika sana sana hao hao Polisi Wanatuchoma kwa hawa Wahalifu na kuanza Kuwindwa ama Kudhuriwa au hata Kuuwawa nao.

Mimi wakiingia TU katika 18 zangu wala sitowachelewesha namaliza na tayari nimeshanoa Mapanga yangu Tukuka kwa Kazi hiyo kwani tumeshachoka na huu Upuuzi wa hawa Panya Road uliobarikiwa na Uzembe wa hali ya Juu wa Askari Polisi wa Tanzania.
tumeshachoka na huu Upuuzi wa hawa Panya Road uliobarikiwa na Uzembe wa hali ya Juu wa Askari Polisi wa Tanzania.

Kumbe iko hivyo?!
 
Yes uhalifu unatuathiri mno, but ni vema tukaangalia upande wa pili wa coin, vitisho, mabavu, havitasaidia chochote kukabiliana na tatizo hili, chanzo cha panya road ni social ills tulizokua nazo,poverty and unemployment ni vema tukaanzia huku,kuwaua panya roads hakutasaidia chochote maana wataendelea kuwepo, nchi tunatakiwa tuachane na hizi mentality za kila kitu kutumia vitisho na dola, ona sasa FFU wanaonekana askari wa kawaida, awamu ya kwanza special unit hii ilikua nadra mno kuonekana hadharani but now hakuna mwenye kushituka nao bcs it's normal kuwaona mitaani, tutibie unemployment kwa vijana wetu kwanza
Vijana wamekata tamaa, wapo tu mtaani hawana shughuli ya kufanya ndo wanaangukia kwenye uhalifu
 
Polisi wanafanya kazi kubwa sanaaa, ka huamini we pata changamoto itakayokupeleka kwenye ofisi zao
isipokuwa baadhi tu ndo wanachafua hali ya anga na kushirikiana na wahalifu.
Mkuu polisi wa Tanzania au?
 
Vijana wamekata tamaa, wapo tu mtaani hawana shughuli ya kufanya ndo wanaangukia kwenye uhalifu
Exactly mkuu,sasa we need a political will to arrest the situation, watanzania hawa wa middle class wengi wao uchwara tu ,wamepoteza kabisa ufikiri wa real happening on the ground, wengi wao kama wamepagawa yaani wakisikia panya roads wao ni piga ua, but that can't solve the problems maana hawa panya roads wanazidi kuzaliwa kila siku, kila mwaka kuna graduates zaidi ya 20k wanaomaliza chuo kikuu na labda ni 4%tu kati yao ambao watafanikiwa kupata formal job,the rest wanaingia kwenye fungu la kuzalisha panya roads, we need to take action now
 
Polisi wanafanya kazi kubwa sanaaa, ka huamini we pata changamoto itakayokupeleka kwenye ofisi zao
isipokuwa baadhi tu ndo wanachafua hali ya anga na kushirikiana na wahalifu.
Tukubaliane kutokukubalina, ama sivyo ndugu zangu??
 
Exactly mkuu,sasa we need a political will to arrest the situation, watanzania hawa wa middle class wengi wao uchwara tu ,wamepoteza kabisa ufikiri wa real happening on the ground, wengi wao kama wamepagawa yaani wakisikia panya roads wao ni piga ua, but that can't solve the problems maana hawa panya roads wanazidi kuzaliwa kila siku, kila mwaka kuna graduates zaidi ya 20k wanaomaliza chuo kikuu na labda ni 4%tu kati yao ambao watafanikiwa kupata formal job,the rest wanaingia kwenye fungu la kuzalisha panya roads, we need to take action now
Tanzania tuna viongozi wa ajabu sana: Baada ya uhuru Serikali ilibuni na kutekeleza njia nyingi za kuzalisha ajiraa na zilifanya kazi, leo hii, viongozi hawahawa waliokuwa wakihariri mipango ya Nyerere hwajui kinachoendelea, wameishiwa fikra. Hivi viongozi walioko dar es salaam hawajui kabisa maana ya maneno Gezaulole, Kinyerezi, Kajiungeni???????, Hivi, hawajui nini kilikuwa kinafanyika huko mpaka wana Sikinde wakapatungia wimbo "Gezaulole"?????????????, Hivi, viongozi hawajui kwanini kuna eneo la kinondoni lina itwa "Vijana"?????????????
 
Welldone mkuu ninaafiki kabisa ufikiri wako, vijana unapowaacha bila ya kufanya your looking for trouble, poverty inawasukuma kuingia kwenye issue kama hizi za ujambazi, politicians wanaojielewa hii issue sio ya kutumia nguvu ,ni maamuzi ya kisayansi yanayotakiwa..by the way wimbo wa Gezaolole ulipigwa na Urafiki Jazz!,Gama wewe ndio mpiga rhythm wa bendi yangu pendwa ya sikinde!
 
Back
Top Bottom