IGP Poti Wambura nimeshatoa ONYO kwa Vijiwe vya Wahalifu kuwa wakiingia 18 zangu Majina yao yataanza kuitwa Marehemu

Polisi wanafanya kazi kubwa sanaaa, ka huamini we pata changamoto itakayokupeleka kwenye ofisi zao
isipokuwa baadhi tu ndo wanachafua hali ya anga na kushirikiana na wahalifu.
Utakapopata changamoto ya kihalifu ndio utajua umuhimu wa polisi sema asilimia chache sana ya polisi ndio wanaharibu na kulishushia heshima jeshi la polisi
 
Kuna watu wanasema watoto mtu anajua kuua we bado hushtuki siku ukisikia kitu cha baridi imepita kwenye mbavu (beto) ndo utajua mi namaanisha nn
 
tumeshachoka na huu Upuuzi wa hawa Panya Road uliobarikiwa na Uzembe wa hali ya Juu wa Askari Polisi wa Tanzania.

Kumbe iko hivyo?!
 
Vijana wamekata tamaa, wapo tu mtaani hawana shughuli ya kufanya ndo wanaangukia kwenye uhalifu
 
Polisi wanafanya kazi kubwa sanaaa, ka huamini we pata changamoto itakayokupeleka kwenye ofisi zao
isipokuwa baadhi tu ndo wanachafua hali ya anga na kushirikiana na wahalifu.
Mkuu polisi wa Tanzania au?
 
Vijana wamekata tamaa, wapo tu mtaani hawana shughuli ya kufanya ndo wanaangukia kwenye uhalifu
Exactly mkuu,sasa we need a political will to arrest the situation, watanzania hawa wa middle class wengi wao uchwara tu ,wamepoteza kabisa ufikiri wa real happening on the ground, wengi wao kama wamepagawa yaani wakisikia panya roads wao ni piga ua, but that can't solve the problems maana hawa panya roads wanazidi kuzaliwa kila siku, kila mwaka kuna graduates zaidi ya 20k wanaomaliza chuo kikuu na labda ni 4%tu kati yao ambao watafanikiwa kupata formal job,the rest wanaingia kwenye fungu la kuzalisha panya roads, we need to take action now
 
Polisi wanafanya kazi kubwa sanaaa, ka huamini we pata changamoto itakayokupeleka kwenye ofisi zao
isipokuwa baadhi tu ndo wanachafua hali ya anga na kushirikiana na wahalifu.
Tukubaliane kutokukubalina, ama sivyo ndugu zangu??
 
Tanzania tuna viongozi wa ajabu sana: Baada ya uhuru Serikali ilibuni na kutekeleza njia nyingi za kuzalisha ajiraa na zilifanya kazi, leo hii, viongozi hawahawa waliokuwa wakihariri mipango ya Nyerere hwajui kinachoendelea, wameishiwa fikra. Hivi viongozi walioko dar es salaam hawajui kabisa maana ya maneno Gezaulole, Kinyerezi, Kajiungeni???????, Hivi, hawajui nini kilikuwa kinafanyika huko mpaka wana Sikinde wakapatungia wimbo "Gezaulole"?????????????, Hivi, viongozi hawajui kwanini kuna eneo la kinondoni lina itwa "Vijana"?????????????
 
Welldone mkuu ninaafiki kabisa ufikiri wako, vijana unapowaacha bila ya kufanya your looking for trouble, poverty inawasukuma kuingia kwenye issue kama hizi za ujambazi, politicians wanaojielewa hii issue sio ya kutumia nguvu ,ni maamuzi ya kisayansi yanayotakiwa..by the way wimbo wa Gezaolole ulipigwa na Urafiki Jazz!,Gama wewe ndio mpiga rhythm wa bendi yangu pendwa ya sikinde!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…