IGP Simon Siro, ondoa ACP Ramadhani Kingai mrudishe HQ

Fundi Madirisha

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
184
Reaction score
988
Huu ni ushauri wangu mfupi tu kwako IGP, huyu bwana atakuharibia kazi yako. Kama kweli inavyotajwa na Mashahidi alichukua shilingi 260,000 za mtuhumiwa Adamoo, ingawa huu ni ushahidi lakini tayari imeshamtia doa na hataaminika popote. Arudishe pesa za watu, hata akizikana lakini tayari imeshaeleweka kuwa si mtu mzuri.

Afande IGP, ACP Kingai anatajwa hadharani kuwaambia watu kuwa yeye ni kada wa CCM kindakindaki, alimwambia Mhe Lema wakati yeye akiwa RCO Arusha na juzi kabla ya kuanza kwa kesi ya Mbowe alimwambia kwamba kipindi hiki hachomoki, haya alisema Mbowe mwenyewe.

Huwezi ukawa mtu mmoja unalalamikia wewe tuu, lipo tatizo kwa huyu RPC. Kwa heshima yako mkuu ondoa huyu mtu ni ni tatizo. Mwl Nyerere alisema kiongozi wa umma akianza kunyooshewa kidole tayari ni tatizo.

Chukua hatua Afande IGP kabla hajaharibu zaidi, huyu ni wale wale kina Kamhanda, kwanza hana mahusiano mazuri na baadhi ya askari wenzake wanalalamika.
 
Ndio watu wanaonekana ni majembe ya polisi hamtoi hapo au anampandisha cheo soon.

Kichwa nazi
Kabisa, tuna Taifa la ajabu sana na wakitokea kwenye media wanasisitiza tii sheria bila shuruti!!
 
Ukitaka Polisi apande cheo Tanzania dawa ni kuwaonea wapinzani.
Ukiwapiga marungu, mabomu na kuwabambikia kesi wapinzani lazima upande cheo.
 
Huu ni ushauri wangu mfupi tu kwako IGP, huyu bwana atakuharibia kazi yako. Kama kweli inavyotajwa na Mashahidi alichukua shilingi 260,000 za mtuhumiwa Adamoo, ingawa huu ni ushahidi lakini tayari imeshamtia doa na hataaminika popote. Arudishe pesa za watu, hata akizikana lakini tayari imeshaeleweka kuwa si mtu mzuri.

Afande IGP, ACP Kingai anatajwa hadharani kuwaambia watu kuwa yeye ni kada wa CCM kindakindaki, alimwambia Mhe Lema wakati yeye akiwa RCO Arusha na juzi kabla ya kuanza kwa kesi ya Mbowe alimwambia kwamba kipindi hiki hachomoki, haya alisema Mbowe mwenyewe.

Huwezi ukawa mtu mmoja unalalamikia wewe tuu, lipo tatizo kwa huyu RPC. Kwa heshima yako mkuu ondoa huyu mtu ni ni tatizo. Mwl Nyerere alisema kiongozi wa umma akianza kunyooshewa kidole tayari ni tatizo.

Chukua hatua Afande IGP kabla hajaharibu zaidi, huyu ni wale wale kina Kamhanda, kwanza hana mahusiano mazuri na baadhi ya askari wenzake wanalalamika.
Amchukulie hatua wakati na yeye ni mnufaika wa wizi unao endelea?
 
Yeye pia anatakiwa kuondolewa.
 
Huyu Kigai ana kichwa kama cha paka shume. Hivi IGP alipitia vyema hii kesi ya Mbowe kisha kuona kuna ukweli! Yaani jeshi linakwenda kuaibishwa vibaya sana.
 
Tayari wameshajiaibisha. Hata huyo IGP mwenyewe ni sehemu ya aibu hiyo Kwa matamshi yake aliokwishakuyatoa.
 
Huu ni ushauri wangu mfupi tu kwako IGP, huyu bwana atakuharibia kazi yako. Kama kweli inavyotajwa na Mashahidi alichukua shilingi 260,000 za mtuhumiwa Adamoo, ingawa huu ni ushahidi lakini tayari imeshamtia doa na hataaminika popote. Arudishe pesa za watu, hata akizikana lakini tayari imeshaeleweka kuwa si mtu mzuri.

Afande IGP, ACP Kingai anatajwa hadharani kuwaambia watu kuwa yeye ni kada wa CCM kindakindaki, alimwambia Mhe Lema wakati yeye akiwa RCO Arusha na juzi kabla ya kuanza kwa kesi ya Mbowe alimwambia kwamba kipindi hiki hachomoki, haya alisema Mbowe mwenyewe.

Huwezi ukawa mtu mmoja unalalamikia wewe tuu, lipo tatizo kwa huyu RPC. Kwa heshima yako mkuu ondoa huyu mtu ni ni tatizo. Mwl Nyerere alisema kiongozi wa umma akianza kunyooshewa kidole tayari ni tatizo.

Chukua hatua Afande IGP kabla hajaharibu zaidi, huyu ni wale wale kina Kamhanda, kwanza hana mahusiano mazuri na baadhi ya askari wenzake wanalalamika.
Huyu siyo wa kupelekwa HQ bali wa kufukuzwa na kushtakiwa kwa uharamia.
 
Back
Top Bottom