Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Huu ni ushauri wangu mfupi tu kwako IGP, huyu bwana atakuharibia kazi yako. Kama kweli inavyotajwa na Mashahidi alichukua shilingi 260,000 za mtuhumiwa Adamoo, ingawa huu ni ushahidi lakini tayari imeshamtia doa na hataaminika popote. Arudishe pesa za watu, hata akizikana lakini tayari imeshaeleweka kuwa si mtu mzuri.
Afande IGP, ACP Kingai anatajwa hadharani kuwaambia watu kuwa yeye ni kada wa CCM kindakindaki, alimwambia Mhe Lema wakati yeye akiwa RCO Arusha na juzi kabla ya kuanza kwa kesi ya Mbowe alimwambia kwamba kipindi hiki hachomoki, haya alisema Mbowe mwenyewe.
Huwezi ukawa mtu mmoja unalalamikia wewe tuu, lipo tatizo kwa huyu RPC. Kwa heshima yako mkuu ondoa huyu mtu ni ni tatizo. Mwl Nyerere alisema kiongozi wa umma akianza kunyooshewa kidole tayari ni tatizo.
Chukua hatua Afande IGP kabla hajaharibu zaidi, huyu ni wale wale kina Kamhanda, kwanza hana mahusiano mazuri na baadhi ya askari wenzake wanalalamika.