Kuna viongozi wa kidini kadhaa wametangulia mbele ya haki.
Na nyanya yake akifa mtutangazieMama mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, Monica Nyabyamari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo April 10, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu.
Msiba upo nyumbani kwa IGP Sirro, Masaki, Dar es Salaam.
View attachment 1748148
Kati ya jambo ambalo Mungu aliumba litufunze mambo mengi ni kifo. Muacheni Mungu aitwe Mungu
Hao ni mashujaa watapokelewa na gwaride lukuki la malaika mbinguni. Ole wenu nyie wezi wa kura na mali za umma.Kuna viongozi wa kidini kadhaa wametangulia mbele ya haki.
Unasemaje juu ya hili Mh. Waziri wa Kaskazini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wapumzike kwa amaniKuna viongozi wa kidini kadhaa wametangulia mbele ya haki.
Unasemaje juu ya hili Mh. Waziri wa Kaskazini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
R. I. P mama Sirro
Kumbe ni mama yako?Ohh!
Pole sana Kamanda wetu mpambanaji.
Apumzike kwa amani Mama yetu.