TANZIA IGP Simon Sirro afiwa na Mama yake Mzazi usiku wa kuamkia leo

TANZIA IGP Simon Sirro afiwa na Mama yake Mzazi usiku wa kuamkia leo

Kwa Amani Mama Siro Pumzika.Vipi Misime ni Msemaji wa Familia hiyo pia au ipo kwenye majukuma yake ya Kikazi pia?
 
Tarime watuwamekufa wengi sana kipindi cha uchaguzi kwa Ajili ya siro.
Nakuchukia pamoja na uzao wako wote.
Kifo ni Fundi,hata mimi nitakufa lakini mpka siku Yangu ifike.sio kwa kuwawa na jeshi la Siro.
Mh!
 
Mama mzazi wa IGP Siro afariki dunia hii leo.
Mama mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, Monica Nyabyamari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo April 10, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu.

Msiba upo nyumbani kwa IGP Sirro, Masaki, Dar es Salaam.

Taarifa zaidi nakujuza
 
Kwani Mama yake naye alikuwa polisi?
Kwa nini logo ya polisi kwenye tangazo?
What's so special?
Akifa na mwanafamilia mwingine mtatangaza kwa mtindo huu?
Kazi ipo kweli kweli
Kufa kupo kumbe?
 
Huyo Mama anaihusu vipi Jamii mpaka kifo chake kitangazwe official namna hii?

Anyway, poleni wenye Mamlaka.
 
Kwani Mama yake naye alikuwa polisi?
Kwa nini logo ya polisi kwenye tangazo?
What's so special?
Akifa na mwanafamilia mwingine mtatangaza kwa mtindo huu?
Kazi ipo kweli kweli
Kufa kupo kumbe?
Cc mkorinto
 
Tarime watuwamekufa wengi sana kipindi cha uchaguzi kwa Ajili ya siro.
Nakuchukia pamoja na uzao wako wote.
Kifo ni Fundi,hata mimi nitakufa lakini mpka siku Yangu ifike.sio kwa kuwawa na jeshi la Siro.
Ulichoandika siyo ustaarabu mkuu

Ova
 
Back
Top Bottom