IGP Simon Sirro apangua Makamanda wa Polisi wa Mikoa

Huyu naye kutaniwa tu cheo chake na Mkurya, kashaenda kwa waganga kuchanjwa zaidi, mpaka sehemu sehemu!@#$%^&
 
Naamini hayo ndio mabadiliko ya mwisho kabisa kufanywa na Sirro akiwa IGP kabla ya kustaafishwa. Muda ni mwalimu mzuri
 
Mange ni shetani mkubwa.Ninyi wafuasi wake ipo siku yenu.

 
Mange ni shetani mkubwa.Ninyi wafuasi wake ipo siku yenu.
mie wala sio mfuasi wa Mange malaya yule mjaa laana kukaa uchi tu!

mie nazungumzia tabia za kufungia akaunt za benki za watu hasa wafanyabiashara
 
Kwa hiyo ziro anampangia wankyo safu ya watendaji kabla hajamkabidhi kijiti......asalaleee!
 
Huyu Afande ACP Muliro wa Dar es Salaam ambaye kila Mechi za Ligi Kuu ya NBC hakosekani Uwanjani na Sare zake za Police Yeye haya Mabadiliko yataanza Kumgusa lini?
 
Ni mabadiliko mazuri ya kawaida tuangalie na upande wa ajari pia zimekua nyingi Sana.
 
naomba kufahamu huyu mtajwa hapo daniel shila ni ndg na yule prophet billioner shila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…