Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kihojiwa na BBC Swahili alisema MBOWE ni gaidi huku akialika nchini wawekezaji na watalii. Seriously watalii wahe kutalii ugaidiland!!!???!?!?Mnakimbiza watalii kwa kutengeneza kesi za kubambikia watu ugaidi
Wanaogopa vyanzo na makambi mafunzo anaenda wacheza karate...ugaidi upo kwenye imani zaidi.....akiwashe Capo De Galdo akimaliza awahi Garisa avuke boarder.....vita imani huwa haina mwisho na hataweza kuishinda kwa jazbaUsijifanye kila jambo unalijua kwa sababu unakasimu kako ka kupyatila halafu unakula ugali wa bure , acheni jeshi la Polisi lifanye kazi yake, usilolijua ni sawa na usiku wa giza .
inabaki alama ya ???Na kabla ya hapo alikuwepo mama mwenyewe.