Ni kweli, ni sahihi! Hata mimi pia kama inavyoonekana.Watu wamemiminika vituoni kumchagua Drs John Magufuli na Hussein Mwinyi!
Watu wanamalizia kusign petition aende zake ICC . Mwambie ajiandae na Magufuli wake.IGP siro on fire, Tupo nyumbani tayari siee
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]Watu wamemiminika vituoni kumchagua Drs John Magufuli na Hussein Mwinyi!
Atakae enda ICC ni lisu subiri uone.Watu wanamalizia kusign petition aende zake ICC . Mwambie a jiandae na magufuli wake
Nikupongeze IGP na Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri.
Watu wanamalizia kusign petition aende zake ICC . Mwambie ajiandae na Magufuli wake
Kapicha tuone wino kwenye kidole.Tumepiga kura na kurudi nyumbani ๐๐น๐ฟ๐