Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro asema hali katika Vituo vya Kupigia kura ni shwari

Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro asema hali katika Vituo vya Kupigia kura ni shwari

Nikupongeze IGP na Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri.
 
Upinzani ni Imani. Iman chanzo chake ni kusikia.

Baadae siwezi kimbia mtu. Nitakuwepo kuilinda iman yangu✌️
 
Jeshi la Polisi limefanya kazi nzuri sana...Pongezi kubwa kwenu Jeshi la Polisi.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom