Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sirro nakuapia na wako wataambiwa hivyo, utakuwa hauko madarakani au duniani, enjoy your cheo#Manyara
"......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro
#UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
View attachment 1965835
kosa ni kosa wakikosa wao sio kosaKuna yule Gody Sirro amekushinda, kila siku kupigana na wateja wa bar yako kule Chanika naye utampeleka central?
Sirro nakuapia na wako wataambiwa hivyo, utakuwa hauko madarakani au duniani, enjoy your cheo
Nipo maza ako mkuu
Kingai#Manyara
"......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro
#UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
View attachment 1965835
Hahahaha[emoji23]ACP Kingai
Mwenda tezi na omo. Marejeo ngamani.Sirro nakuapia na wako wataambiwa hivyo, utakuwa hauko madarakani au duniani, enjoy your cheo
Kwahiyo wanandoa wajigombana na mke akaamua kukimbilia kwa Sirro kumkomoa munewe kwa kumsingizia ujambazi sijui itakuwajeStupid!Unaletewa au unamtafuta na kumtambua kwa utaalamu mhalifu?Go to hell!
Apandacho mtu ndicho avunachoMaringo na majivuno ya mwanadamu ni ya muda tu.
Mbowe si gaidi.
Lakini kuna kujiongeza kwakuwa mpaka mtu kupata cheo cha IGP anahitajika kuwa na elimu kubwa, ufahamu mkubwa, uzoefu wa kutosha na mwenye tafakuri ya hali ya juu sanaNdio mipaka yake ya kazi na kufukiri imeishia hapo, kazi kubwa za ki-IGP ni kusubiri maagizo kutoka kwa wakubwa zake, nayeye anatekeleza kama yule mnyama mwenzetu anavyoamriwa shikaaa.
Almaaruf afande RamaACP Kingai
Huyo bwana mdogo anatumia cheo cha babayake kujiweka juu ya sheria. Kuna siku tulikua na kikao na madalali pale kwenye bar yao madalali wakahitilafiana kwenye maslahi baada ya kuuza nyumba. Ile kujibizana akaja huyo Gody, anafoka na kupiga meza teke vinywaji vikamwagika.Kuna yule Gody Sirro amekushinda, kila siku kupigana na wateja wa bar yako kule Chanika naye utampeleka central?