IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

Ila uzuri kichapo mlimpa.
 
Kuna yule Gody Sirro amekushinda, kila siku kupigana na wateja wa bar yako kule Chanika naye utampeleka central?
Sirro ana Bar na Lodge Tegeta,kipindi cha JPM ambapo pombe zilipigwa marufuku mpaka saa 10,washikaji waliniita kiwanja hicho na tukala mvinyo sana!Nikawauliza vipi tukidakwa?Wakasema hapa ni kwa Sirro kwahiyo jiachie tu,huwa wateja Wa hapa hatubughudhiwi,mvinyo muda wowote tunapiga!
 
Sawa
 
Huyu mzee ni mjinga sn
 
#Manyara
"......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro

#UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
View attachment 1965835
Kwa niaba ya jamhuri ya Tanzania napenda kuwashitaki IGP Mstaafu Omari Mahita. Yule mzee alikuwa jangili sana, aliua wtu wengi sana hapa jijini kwani alikuwa na kikundi chake cha majambazi aliokuwa anawatuma kuvamia benki na kuiba hela. IGP Mahita atafutwe kokote aliko na kufungwa maisha. Pili, watu hawa wafuatao Ridhiwani Kikwete, Kinjeketile Mwiru, nao pia wakamatwe kwa uuzaji wao madawa ya kulevya, Mwisho namshitaki SImon Sirro kwa kushindwa kukamata watu wanaoua raia wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…