IGP Simon Sirro kwa kushirikiana na wadau ajenga Kanisa kijijini kwao

IGP Simon Sirro kwa kushirikiana na wadau ajenga Kanisa kijijini kwao

Kuna Marehemu mmoja aliwahi kujenga Kanisa kijijini kwao Kisha akamuamrisha Padri kuwa Sadaka yote apewe Mama yake ..... tumetoka MBALI saaaana sana
 
..habari nzima ipo hapa

KWA MATENDO YAKE YA KIKATILI SIDHANI KAMA ITASAIDIA ATI MUNGU ATAMUONA KUWA MTU MWEMA.
UYU NI SHETANI KABISA, KAWALINDA WASIOJULIKANA WKT WA DICTATOR JPM SASA ATI ANAMGEUKIA MUNGU.
SHETANI MKUBWA UYU KAUA, KATESA NA BADO ANATESA WASIO NA HATIA UYU
 
Aisee! Kanisa tena!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Waamini watamwabudu Mungu, Injili itahubiriwa, watu wataokoka, walioamini watajengwa na kuimarishwa kiroho, na huduma nyingine za kikristo zitatolewa.
Sifa na utukufu ni kwa Mungu baba atuwezeshaye kuyatenda hayo ktk kicho cha utukufu wa jina lake.
 
Mungu angekuwa chadema au ccm, sote tungepigwa moto wa jehanam, wote mnaohukumu, hamna nafas hata chembe tu, ya kuwa sehemu ya Mungu

IGP, wewe umemaliza na umefanya kazi njema mno mbele za Mungu

Hata aliyecheza film ya Yesu, alipomaliza, kuja kuitizama, alikata shauri ya kuokoka, Kwa maana alikuwa hajaokoka!
 
Yunasubiri nae aanze kusema "mniombee" "nikimaliza muda wangu sitaongeza hata dakika moja" then tutajua the end is almost near.
 
Idd Amin killed lakhs of people and yet he termed himself Al Haji! ndizo ta
Idd Amini nae alikuwa Alhaj baada ya kufanya mauaji makubwa so tusishangae Sana hili kuwa shetani akizeeka huwa malaika
kataka za kitu kinautwa dini... ujinga mtupu
 
Idd Amini nae alikuwa Alhaj baada ya kufanya mauaji makubwa so tusishangae Sana hili kuwa shetani akizeeka huwa malaika
Na Uganda ni mwanachama wa jumuiya ya nchi za kiislam OIC nahisi yeye ndie aliingiza huko,,,,kilichofatia ni kumpa majina mabovu.
 
Back
Top Bottom