IGP Simon Sirro kwa kushirikiana na wadau ajenga Kanisa kijijini kwao

Hongera sana, mengine tumuachie Mungu, mambo ya hukumu sio kazi yako sababu hujui ukweli wowote
 
Tatizo lipo la kimaadili. Anajificha chini ya kivuli cha dini wakati ni jitu katili na liuaji lililopindukia
Tuhuma zisizokuwa na ushahidi ni kelele tu.
 
Mungu akubariki Sana,wachache wenye moyo Kama wa kwako KAMANDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…