IGP Simon Sirro; madaraka hupita, toba hutengeneza mwisho mwema

Wewe ni taahira na takataka tu

Sirro ni mwelevu sana na anajua kudeal na mambo ya msingi na wababaifu pia

Kweli Tundu alifanyiwa tukio la kikatili kama ambavyo angeweza kufanyiwa mtanzania mwingine yoyoteyoyote.... Ila aache propaganda za mitandaoni sasa, aje asaidiane na vyombo husika tuupate ukweli wa jambo lake aache ubabaifu

Anachodai sasa ni ubinafsi sio usalama
 
Tunamwachia Mungu tu.
 
Mungu atawashughulikiwa kama ambavyo anaendelea kuwateketeza makatili wote ameshaanza na Jiwe na kijazo, na wengine wengi wanafata
 
Mungu atawashughulikiwa kama ambavyo anaendelea kuwateketeza makatili wote ameshaanza na Jiwe na kijazo, na wengine wengi wanafata

Kizuri hakidumu - Wahenga
Wanachokipenda wanadamu na Mungu hukipenda zaidi

Sasa ngoja tuone vile wewe utaishi milele🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kizuri hakidumu - Wahenga
Wanachokipenda wanadamu na Mungu hukipenda zaidi

Sasa ngoja tuone vile wewe utaishi milele🤣🤣🤣🤣🤣
Kizuri kipi yule mwenye laana na wenzake wanadanja kila siku.
 
Ni kweli hata mimi ameniumiza sana! Sikutegemea kwa umri wake na cheo chake atakuwa na upeo mdogo kiasi kile. Yeye wakati wote anawaza maslahi, maslahi , maslahi. Sielewi kwa nini ndani ya nafsi yake anaweza tu maslahi. Ndio maana hawa polisi wakipewa elfu tano tu wanageuka kuwa wasiojulikana na kuumiza watu. Badala ya kuvaa uhusika wa Lissu na kuhisi maumivu aliyoyapata kwa risasi zote zile kuingia mwilini mwa mtu yeye anaona ni jambo la kawaida tu. Huu ni unyama uliopitiliza. Namwangalia Sirro kwa jicho la mshangao tofauti na mwanzo. Sikuwahi kufikiri kuwa IGP Sirro ana roho mbaya kama hii. Eti, yaliyompata ni ya kawaida tu.
 
Tangu Sirro atamke maneno hayo kwa kweli nikikumbuka mwili unasisimuka. kwamba katika nchi hii tuna watu tena viongozi aina ya Sirro ambao hawana hata hisia za maumivu ya wengine! Kweli unaweza kunyanyua mdomo kukejeli kilema cha mtu kilichosababishwa na risasi na wewe ndio mkubwa wa hao wenye risasi! Kiongozi umepewa kulinda raia na mali zao halafu wewe ndio unakuwa wa kwanza kuchekelea maumivu ya raia wako!
 
Kizuri kipi yule mwenye laana na wenzake wanadanja kila siku.
Laana unayo wewe unayemchukia mtu ansyekubalika na watu wake kwa zaidi ya 84%
Wewe wa 16% mwenye kutumia nguvu ya mitandao ni sawa na tone la sukari baharini🤣🤣
 
Laana unayo wewe unayemchukia mtu ansyekubalika na watu wake kwa zaidi ya 84%
Wewe wa 16% mwenye kutumia nguvu ya mitandao ni sawa na tone la sukari baharini🤣🤣
84% Fake
 
Kama bado Sirro hajatubu kwa ile kauli basi analo. Hadi natamani Lissu akubali uteuzi wa Mama Samia na awe waziri wa mambo ya ndani ya nchi. Maana nasikia mama yupo tayari kumpa cheo chochote Lissu ili wajenge nchi kwa pamoja
 
Yani mtu kuwa na cheo ndo unakejeli ilemavu wa mtu as ifu wewe sio binadamu mwenye mwili wa nyama na kusahau hujaga hujaumbika.Awe mstalabu aombe radhi huo sio ubinadam
 
Nimeelewa yule Ernest Magu alikaidi maelekezo ya umafia.
Atabaki kuwa na rekodi njema.

Sirro angemtuma hata mtu mwingine tu.
Nilimsikiliza sana,INAUMIZA SANA Halafu unaomba ushirikiano na mabalozi
 
Yani mtu kuwa na cheo ndo unakejeli ilemavu wa mtu as ifu wewe sio binadamu mwenye mwili wa nyama na kusahau hujaga hujaumbika.Awe mstalabu aombe radhi huo sio ubinadam

Sirro hajakejeli hali ya mtu ila ameielezea
Jifunze kutofautisha
 
Sirro hajakejeli hali ya mtu ila ameielezea
Jifunze kutofautisha
Wewe ni mwanamke na unategemea kuzaa? Una watoto?
My dear sometimes bora ukae kimya tu maana Mungu sio mwanadamu
 
Wewe ni mwanamke na unategemea kuzaa? Una watoto?
My dear sometimes bora ukae kimya tu maana Mungu sio mwanadamu

Uanamke sio kukaa kimya kwa mambo yanayohitaji mchango kwa jamii

Mama wa taifa akiwa makamu aliwaambia hakuna askari wake anaweza mpiga mtu risasi zote zile, kama mlimuelewa mnatakiwa kuwaza mbali zaidi na kumwambia huyo mtanzania mwenzetu aje tushirikiane kuujua ukweli

Aliweza kuja kufanya kampeni nini kinamshinda kuja sasa!?
 
Lissu akae na Sirro? Hahaha labda sio Lissu nae mjua! Subiri uharo atakaokuja nao kumjibu Sirro utanielewa.
 
Sina zaidi ya hilo nililokiambia my dear. Ila tu Mungu hadhihakiwi. Usichukulie uovu/dhambi ya mtu mwingine kuwa kisingizio cha wewe kuhukumu au kuunga mkono uovu.
Kumbuka tunakosea kwa kuwaza, kwa kunena kwakutenda na hata kwakutokutimiza wajibu. Basi chukua wajibu wako kama huwezi bora ukae kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…