Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 14, 2021 #61 Lambardi said: Sirro imani imetekwa na unafiki kujipendekeza...ila muda mwalimu mzuri sana Click to expand... Kwa umri wake alipaswa awe na hekima na busara
Lambardi said: Sirro imani imetekwa na unafiki kujipendekeza...ila muda mwalimu mzuri sana Click to expand... Kwa umri wake alipaswa awe na hekima na busara
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jul 14, 2021 #62 Babati said: Kwa umri wake alipaswa awe na hekima na busara Click to expand... Dhamiri hana. Mpaka amefika pale chini ya ccm amefanya mengi. Ameshakufa kiroho
Babati said: Kwa umri wake alipaswa awe na hekima na busara Click to expand... Dhamiri hana. Mpaka amefika pale chini ya ccm amefanya mengi. Ameshakufa kiroho
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Jul 15, 2021 #63 Babati said: Kwa umri wake alipaswa awe na hekima na busara Click to expand... Anajipendekeza apewe ubalozi akistaafu.. Vya bure ukivizoea ni shida hapo anatafuta ubalozi au mwenyekiti wa boardtamu tamu
Babati said: Kwa umri wake alipaswa awe na hekima na busara Click to expand... Anajipendekeza apewe ubalozi akistaafu.. Vya bure ukivizoea ni shida hapo anatafuta ubalozi au mwenyekiti wa boardtamu tamu
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Jul 15, 2021 #64 Ili uwe kiongozi wa nchi hii, sharti kuu unapelekwa mirembe kwanza, wanakuwekea utaahira kwanza ndo unapewa cheo
Ili uwe kiongozi wa nchi hii, sharti kuu unapelekwa mirembe kwanza, wanakuwekea utaahira kwanza ndo unapewa cheo