Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Siko mahakamani sawa kijana kama angekuwa hajavunja taratibu za kijeshi asingerudishwa makao makuuMzee taja kifungu kilichokua violated
Tanzania hii hakuna askari police mwenye weledi hata chembe .Pimbi kama hawa ndiyo wanalifanya Jeshi la Polisi lionekane halina hata chembe ya weledi.
Mwaka huu vioja tupu.Bangi siyo mboga Wakyo nahisi aliipuliza nyingi ikamshinda kuhimili, halafu ukizingatia ni homeboy wa Sirro wote wanatoka Kanda maalumu, na Bila Sirro Wakyo asingekuwa hapo alipo kiukweli alikosea sana Hana adabu hata angekuwa mtumishi au mfanyakazi wa sekta binafsi huo ni utovu wa nidhamu
Taja regulation hata huyo askari anapotakiwa kuadhibiwa kinidhamu wata quote code of conduct au ethics iliokua violated
Tanzania hii hakuna askari police mwenye weledi hata chembe . kama mnaweza kuuwa mtu mumdhulumu fedha zake (mtwara) kuna weledi gani hapo.
Kwa kifupi watanzania tunalindwa na wezi na majambazi yaliyovalia sale .
Dunia nzima , jeshi La police Tanzania ndo jeshi pekee linaweza kufanya mauaji kisha jeshi lenyewe likafanya uchunguzi wa mauaji hayo .Shida yako nini sasa? Si usubiri wamalize uchunguzi wao?
Kwa hatua walipofikia hawa police Tanzania , yaani ni heri ukutane na jambazi lenye siraha kuliko ukutane na police .Hii generalization yako haiwezi kuwa sahihi. Vinginevyo, nchi yetu lazima iwe ni nchi ya majambazi tupu (kiasi cha kukosa mtu yeyote muadilifu wa kujiunga na Jeshi la Polisi)!
Insurbodination ya hali ya juu sanaBangi siyo mboga Wakyo nahisi aliipuliza nyingi ikamshinda kuhimili, halafu ukizingatia ni homeboy wa Sirro wote wanatoka Kanda maalumu, na Bila Sirro Wakyo asingekuwa hapo alipo kiukweli alikosea sana Hana adabu hata angekuwa mtumishi au mfanyakazi wa sekta binafsi huo ni utovu wa nidhamu
Dunia nzima , jeshi La police Tanzania ndo jeshi pekee linaweza kufanya mauaji kisha jeshi lenyewe likafanya uchunguzi wa mauaji hayo .
Kwa hatua walipofikia hawa police Tanzania , yaani ni heri ukutane na jambazi lenye siraha kuliko ukutane na police .
Maana jambazi ukimpa hera hana shida na wewe anaondoka zake anakuacha salama .
Lkn ukikutana na police anachukua hela yako na kukuua ili apoteze ushahidi . au anakubambikia kesi ukaozee jela.
Usiombe yakukute ndugu.
Nsungana nawe kuwa ni utovu wa nidhamu.Polisi kuna shida ya nidhamu. Utomvu wa nidhamu kwa askari wadogo kama mauaji kule Mtwara ni kielelezo cha hali halisi huko juu. Hili la Wankyo ni tukio la aibu mno kijeshi!
Ni dhamira ya kutaka madaraka ya mkuu wa jeshi la Polisi! Hii case inaweza kumuweka pabaya mno huyu RPC.
Nafikiri toka Sirro alalamike kuwa wapo makamanda waliona wao walifaa kuliko yeye na hili la juzi, ni muhimu hili Jeshi litazamwe upya kurudisha nidhamu. Ni jeshi muhimu mno na kilelezo cha ulinzi wa Taifa lolote!
Hapa tupa kule unampenda Sirro au humpendi, Jeshi lina mipaka yake ya nidhamu. Ni hatari mtu wa cheo kile kuongea vile hadharani! Kesho akisema anatamani Urais? Hatari! Hatari! Hatari!
Mungu ibariki Tanzania [emoji1241]
Majambazi yenye sare.Mijizi tu hiyo
nimekwambia police Tanzania hakuna police muadilifu . wewe nakufananisha na IGP Siro ambaye anakuwa mkali akiambiwa jeshi lake halina maadili, yeye akiletewa taarifa za michongo kutoka kwa ma RPC wake anajua mambo yako fresh jeshi linapga kazi .Hii hulka yako inaitwa negative orientation. Huna uwezo wa kuona kitu chochote chanya kinachofanywa na askari waadilifu!
nimekwambia police Tanzania hakuna police muadilifu . wewe nakufananisha na IGP Siro ambaye anakuwa mkali akiambiwa jeshi lake halina maadili . yeye akiletewa taarifa za michongo kutoka kwa ma RPC wake anajua mambo yako fresh jeshi linapga kazi .
Lkin tukirudi uraiani iko wazi wakuu wa vituo OCSCs hawa watu ndo chanzo cha matatzo .
Na kesi nyingi zinaishia mikononi mwao . yaani kesi hadi inamfikia RPC basi jua labda ni ya mauaji.
Lakini hizi kesi ndogo ndogo za kubambikiana hao wakubwa hawazipati . ukitaka amini tembelea vituo vya police utajionea maajabu .
hapo hakosi mil 8 hiviIla jamaa hapa kapiga pesa nzuri sana kiuhamisho,Kutoka pwani kwenda kagera,na kutoka kagera kwenda dodoma,
Na umaarufu pia kaupata......Hongera yake 😀😀😀
Zero alishawaambia kwamba kabla ya kwenda kwenye podium muwe mmejiandaa cha kuongea ila jamaa amekaza kichwa,alistahili hiloTatizo ni RPC kufanya comedi kwenye tafrija zenye raia. Msameheni bure konyagi ilipaa mkichwa au hakuandika text ya hotuba yake
Stay tuned Mkuu.....Sirro acha uoga, hapo utang'oka tu