IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

Pimbi kama hawa ndiyo wanalifanya Jeshi la Polisi lionekane halina hata chembe ya weledi.
Tanzania hii hakuna askari police mwenye weledi hata chembe .

Kama mnaweza kuuwa mtu mumdhulumu fedha zake (mtwara) kuna weledi gani hapo.

Kwa kifupi watanzania tunalindwa na wezi na majambazi yaliyovalia sale .
 
Ukijua unaenda kuongea hadharani, jiandae; andika points zako, ikiwezekana shirikisha na wenzako wakupe mrejesho kuhusu unachoenda kusema.

Huyu amekwisha, kanunua ugomvi na mfumo wa Polisi sio Sirro. Hata kama IGP akibadilika, hili kosa sidhani kama atasemehewa na mfumo.

Mdomo huponza kichwa.... Kasesela, Ndugai, Wankyo....
 
Bangi siyo mboga Wakyo nahisi aliipuliza nyingi ikamshinda kuhimili, halafu ukizingatia ni homeboy wa Sirro wote wanatoka Kanda maalumu, na Bila Sirro Wakyo asingekuwa hapo alipo kiukweli alikosea sana Hana adabu hata angekuwa mtumishi au mfanyakazi wa sekta binafsi huo ni utovu wa nidhamu
Mwaka huu vioja tupu.

Ndugai karopoka,

Waziri mwambe karopoka,

RPC karopoka,
JWTZ nako yupo anayetamani kuwa mkuu wa jeshi?
 
Tanzania hii hakuna askari police mwenye weledi hata chembe . kama mnaweza kuuwa mtu mumdhulumu fedha zake (mtwara) kuna weledi gani hapo.
Kwa kifupi watanzania tunalindwa na wezi na majambazi yaliyovalia sale .

Hii generalization yako haiwezi kuwa sahihi.

Vinginevyo, nchi yetu lazima iwe ni nchi ya majambazi tupu (kiasi cha kukosa mtu yeyote muadilifu wa kujiunga na Jeshi la Polisi)!
 
Hii generalization yako haiwezi kuwa sahihi. Vinginevyo, nchi yetu lazima iwe ni nchi ya majambazi tupu (kiasi cha kukosa mtu yeyote muadilifu wa kujiunga na Jeshi la Polisi)!
Kwa hatua walipofikia hawa police Tanzania , yaani ni heri ukutane na jambazi lenye siraha kuliko ukutane na police .

Maana jambazi ukimpa hera hana shida na wewe anaondoka zake anakuacha salama .

Lkn ukikutana na police anachukua hela yako na kukuua ili apoteze ushahidi au anakubambikia kesi ukaozee jela.
Usiombe yakukute ndugu.
 
Bangi siyo mboga Wakyo nahisi aliipuliza nyingi ikamshinda kuhimili, halafu ukizingatia ni homeboy wa Sirro wote wanatoka Kanda maalumu, na Bila Sirro Wakyo asingekuwa hapo alipo kiukweli alikosea sana Hana adabu hata angekuwa mtumishi au mfanyakazi wa sekta binafsi huo ni utovu wa nidhamu
Insurbodination ya hali ya juu sana
 
Dunia nzima , jeshi La police Tanzania ndo jeshi pekee linaweza kufanya mauaji kisha jeshi lenyewe likafanya uchunguzi wa mauaji hayo .

Nini uhusiano wa hii na hoja iliyoko mezani?
 
Kwa hatua walipofikia hawa police Tanzania , yaani ni heri ukutane na jambazi lenye siraha kuliko ukutane na police .
Maana jambazi ukimpa hera hana shida na wewe anaondoka zake anakuacha salama .
Lkn ukikutana na police anachukua hela yako na kukuua ili apoteze ushahidi . au anakubambikia kesi ukaozee jela.
Usiombe yakukute ndugu.

Hii hulka yako inaitwa negative orientation.

Huna uwezo wa kuona kitu chochote chanya kinachofanywa na askari waadilifu!
 
Polisi kuna shida ya nidhamu. Utomvu wa nidhamu kwa askari wadogo kama mauaji kule Mtwara ni kielelezo cha hali halisi huko juu. Hili la Wankyo ni tukio la aibu mno kijeshi!

Ni dhamira ya kutaka madaraka ya mkuu wa jeshi la Polisi! Hii case inaweza kumuweka pabaya mno huyu RPC.

Nafikiri toka Sirro alalamike kuwa wapo makamanda waliona wao walifaa kuliko yeye na hili la juzi, ni muhimu hili Jeshi litazamwe upya kurudisha nidhamu. Ni jeshi muhimu mno na kilelezo cha ulinzi wa Taifa lolote!

Hapa tupa kule unampenda Sirro au humpendi, Jeshi lina mipaka yake ya nidhamu. Ni hatari mtu wa cheo kile kuongea vile hadharani! Kesho akisema anatamani Urais? Hatari! Hatari! Hatari!

Mungu ibariki Tanzania [emoji1241]
Nsungana nawe kuwa ni utovu wa nidhamu.

Swali langu;

Je afisa mkubwa wa jeshi la polisi ..ACP hajui kuwa huu ni utovu wa nidhamu?

Alilenga nini haswa?

Je kauli hii ni kuteleza tu au kunamsukumo gani nyuma yake?

Sirro kulalamika kuwa anahujumiwa huo nao ni udhaifu mkubwa kama kiongozi...kazi yake ilipaswa kumtetea na sio vinginevyo.
 
Hii hulka yako inaitwa negative orientation. Huna uwezo wa kuona kitu chochote chanya kinachofanywa na askari waadilifu!
nimekwambia police Tanzania hakuna police muadilifu . wewe nakufananisha na IGP Siro ambaye anakuwa mkali akiambiwa jeshi lake halina maadili, yeye akiletewa taarifa za michongo kutoka kwa ma RPC wake anajua mambo yako fresh jeshi linapga kazi .

Lakini tukirudi uraiani iko wazi wakuu wa vituo OCSCs hawa watu ndo chanzo cha matatzo .

Na kesi nyingi zinaishia mikononi mwao . yaani kesi hadi inamfikia RPC basi jua labda ni ya mauaji.

Lakini hizi kesi ndogo ndogo za kubambikiana hao wakubwa hawazipati . ukitaka amini tembelea vituo vya police utajionea maajabu .
 
nimekwambia police Tanzania hakuna police muadilifu . wewe nakufananisha na IGP Siro ambaye anakuwa mkali akiambiwa jeshi lake halina maadili . yeye akiletewa taarifa za michongo kutoka kwa ma RPC wake anajua mambo yako fresh jeshi linapga kazi .
Lkin tukirudi uraiani iko wazi wakuu wa vituo OCSCs hawa watu ndo chanzo cha matatzo .
Na kesi nyingi zinaishia mikononi mwao . yaani kesi hadi inamfikia RPC basi jua labda ni ya mauaji.
Lakini hizi kesi ndogo ndogo za kubambikiana hao wakubwa hawazipati . ukitaka amini tembelea vituo vya police utajionea maajabu .

Jeshi la Polisi la Tanzania linaajiri Watanzania; haliajiri watu kutoka nchi jirani.

Huwezi kusema Tanzania haina askari polisi muadilifu hata mmoja unless unamaanisha pia kwamba wewe na Watanzania wengine wote sio waadilifu.

It’s a reckless generalization!
 
Ila jamaa hapa kapiga pesa nzuri sana kiuhamisho,Kutoka pwani kwenda kagera,na kutoka kagera kwenda dodoma,

Na umaarufu pia kaupata......Hongera yake 😀😀😀
hapo hakosi mil 8 hivi
 
Tatizo ni RPC kufanya comedi kwenye tafrija zenye raia. Msameheni bure konyagi ilipaa mkichwa au hakuandika text ya hotuba yake
Zero alishawaambia kwamba kabla ya kwenda kwenye podium muwe mmejiandaa cha kuongea ila jamaa amekaza kichwa,alistahili hilo
jamaa sio tu kwamba amekiuka kanuni bali pia amepuuza agizo la Boss wake,waliitwa Dom wote nchi nzima kuambiwa kwamba msiwe mnaleta utani mbele ya camera
 
Back
Top Bottom