IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

Juu kwenye SATELAITI kunasomekaje teh teh teh
 
Hii generalization yako haiwezi kuwa sahihi. Vinginevyo, nchi yetu lazima iwe ni nchi ya majambazi tupu (kiasi cha kukosa mtu yeyote muadilifu wa kujiunga na Jeshi la Polisi)!
Police Wazuri wapo wengi tu, mi kuna Mambo nilifanyiwa na police wahuni,wakaja police Wazuri wakarekebisha na ushahidi juu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Jambazi unaweza mweleza akakuelewa ila hawa nyugu jau
 
Yote matapeli tu.
 
Kwa sisi wenye Imani kali.

Kitendo cha kusogezwa Makao makuu kinawza ndio kikawa cha kumsogeza zaidi ili ateuliwe.

Kikawaida itaonekana kapiteza lakin in short run au long run kimemsogeza karibu na nafasi iliyoamini atafanya vizuri.
 
Hapa ndipo nashuhudia watz wengi tulivyo vilaza na wanafiki ,ooh Sirro ajiuzuru katokea mwamba wa kumchalleng watu mmemtema mwamba kmmk zetu wallah
 
RPC angesema anatamani awe KOPLO angeundiwa kikosi cha kumchunguza?

Au angeambiwa Mzalendo.

Mbona RPC wakistaafu nakuchaguliwa kuwa Mabig chair wa CCM huwa hawachunguzwi?
 
Kwani kuna ubaya kuomba cheo?
Ndio maana ukiomba basi muombe mungu tu,
Binaadamu hukasirika akiombwa
 
Hivi kurudishwa makao makuu ni kushushwa cheo?

Kurudi Makao Makuu sio kushuka cheo ila status inashuka maana huna power kama ulivyokuwa RPC na ule udambwi udambwi unaondoka.

Makao Makuu wenye cheo kama chako wako kibao na waliokuzidi wako kibao kwahiyo unaonekana mwananchi wa kawaida tu huna lolote.

Kumbuka ukiwa RPC Polisi wote katika Mkoa huo unawazidi cheo na wanapokea amri kutoka kwako.

Mpe pole ACP Wankyo ameyakanyaga kweli kweli atakaa HQ atasoma magazeti mpaka basi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…