kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atakuwa anakwenda kujifunza u IGP sasa hapo makao makuu ya nchi
Ingependeza ungetuwekea kauli ya huyo Bwn. Wankyo aliyoitoa hapo jana!
Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa am
Bangi ni kitu kibaya sana.Anaenda kusoma magazeti
Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera na Wankyo amepelekwa makao makuu ya jeshi mkoani DODOMA ambapo ni mji mkuu wa tanzania.
Ikumbukwe kuwa kauli aliyotoa jana kiutendaji ndani ya jeshi la polisi huku akijuwa mkuu wake wa kazi yupo na anafanya kazi hakustahili kusema kuwa mkuu wake wa kazi anafanya kazi ila yeye akipewa ukuu wa jeshi anaweza kufanya vizuri zaidi hii imeonesha kuwa nafasi aliyeteuliwa na amri jeshi mkuu hatoshi kuliongoza jeshi hivyo basi kwa kuwa jeshi huongozwa kwa nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana mabadiliko hayo yamefanyika ili akae makao makuu ajifunze nidhamu pamoja na kuandika vipeperushi mabalimbali vinavyolihusu jeshi la polisi.
Pia soma:
Wankyo Nyigesa RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi
View attachment 2168097ACP Wankyo Nyigesa
Vita vya Panzi .. mtajuana wenyewe eti nidhamu toka lini POLICCM mkawa na nidhamu,, wazurumati na wauaji wakubwa nyie. Pumbavu kabisa kabisa.Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera na Wankyo amepelekwa makao makuu ya jeshi mkoani DODOMA ambapo ni mji mkuu wa tanzania.
Ikumbukwe kuwa kauli aliyotoa jana kiutendaji ndani ya jeshi la polisi huku akijuwa mkuu wake wa kazi yupo na anafanya kazi hakustahili kusema kuwa mkuu wake wa kazi anafanya kazi ila yeye akipewa ukuu wa jeshi anaweza kufanya vizuri zaidi hii imeonesha kuwa nafasi aliyeteuliwa na amri jeshi mkuu hatoshi kuliongoza jeshi hivyo basi kwa kuwa jeshi huongozwa kwa nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana mabadiliko hayo yamefanyika ili akae makao makuu ajifunze nidhamu pamoja na kuandika vipeperushi mabalimbali vinavyolihusu jeshi la polisi.
Pia soma:
Wankyo Nyigesa RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi
View attachment 2168097
Bahati yake tu ni pale Sirro atakapotemwa kabla ya uchunguzi kukamilika ....!!Haya sasa anaenda masijala kupanga mafile na kusoma magazeti.
Si kusononeka, kwa maneno yale bila kumchukulia hatua ingeonesha udhaifu na nidhamu ndani ya jeshi inge tiwa dosari.Hii kama ni kweli kwa sisi wajuzi wa mambo inamaanisha ni kweli IGP Mr Sirro kasononeka sana moyoni na kashindwa kuvumilia madhaifu yake kaamua kumtosa baharini kamanda aliyemwanika hadharani.
Kagera ndio ngazi ya kupandia juu.Huyu afande ana akili nyingi Sana, hakutaka kwenda Kagera. Alijua akim- provoc Mkuu wake, obviously atapelekwa makao makuu. Pale ndo atajijenga na Kisha ndoto zake zitatimia.
Hivi mnapajua Kagera?! Waache waende hao waliotoka Rukwa labda watapata nafuu.
Mawazo binafsi.
Hilo ni kosa kwa serikali ya CCM, ww huoni hata mama aliwaondoa mawaziri wanaowaza 2025Ila Wankyo alikuwa sahihi angeongezea IGP kashindwa kazi nipewe mimi.
Jeshi halinaga huo ujinga!Ila Wankyo alikuwa sahihi angeongezea IGP kashindwa kazi nipewe mimi.
Asa yeye mwenyewe si anavyeo au?Magazeti hakuna siku hizi Bali atakuwa anashinda mapokezi tu kubana miguu kila anayeingia anajua ni bosi wake