IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

Wakuu Kamanda Sirro amefanya Marekebisho na Kuhamisha Baadhi ya Marpc.
.
Kamanda Wegesa aliekitamani Cheo Cha Sirro ameliwa Kichwa na Amepelekwa Makao Makuu Akasome Magazeti.
Screenshot_20220329-115057.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa am
 
Nadhani alipata za chini chini kuwa alitaka kuondolewa akaamua aondoke na ile kauli yenye utata
 
Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera na Wankyo amepelekwa makao makuu ya jeshi mkoani DODOMA ambapo ni mji mkuu wa tanzania.

Ikumbukwe kuwa kauli aliyotoa jana kiutendaji ndani ya jeshi la polisi huku akijuwa mkuu wake wa kazi yupo na anafanya kazi hakustahili kusema kuwa mkuu wake wa kazi anafanya kazi ila yeye akipewa ukuu wa jeshi anaweza kufanya vizuri zaidi hii imeonesha kuwa nafasi aliyeteuliwa na amri jeshi mkuu hatoshi kuliongoza jeshi hivyo basi kwa kuwa jeshi huongozwa kwa nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana mabadiliko hayo yamefanyika ili akae makao makuu ajifunze nidhamu pamoja na kuandika vipeperushi mabalimbali vinavyolihusu jeshi la polisi.

Pia soma:
Wankyo Nyigesa RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi

View attachment 2168097ACP Wankyo Nyigesa

ACP Wankyo Nyigesa, atateuliwa kuwa IGP soon.​

View attachment 2168097
Vita vya Panzi .. mtajuana wenyewe eti nidhamu toka lini POLICCM mkawa na nidhamu,, wazurumati na wauaji wakubwa nyie. Pumbavu kabisa kabisa.
 
Hii kama ni kweli kwa sisi wajuzi wa mambo inamaanisha ni kweli IGP Mr Sirro kasononeka sana moyoni na kashindwa kuvumilia madhaifu yake kaamua kumtosa baharini kamanda aliyemwanika hadharani.
Si kusononeka, kwa maneno yale bila kumchukulia hatua ingeonesha udhaifu na nidhamu ndani ya jeshi inge tiwa dosari.

Wanatoka mkoa mmoja, na ingeweza leta hisia ya upendeleo.
 
Huyu afande ana akili nyingi Sana, hakutaka kwenda Kagera. Alijua akim- provoc Mkuu wake, obviously atapelekwa makao makuu. Pale ndo atajijenga na Kisha ndoto zake zitatimia.

Hivi mnapajua Kagera?! Waache waende hao waliotoka Rukwa labda watapata nafuu.

Mawazo binafsi.
Kagera ndio ngazi ya kupandia juu.

Angalia Diwani alikuwa Ras Kagera

Awadh alikuwa RPC Kagera

Nk....nk!
 
Hahahahaha watabiri uchwara wa JF walisema atapelekwa masjala ya pale Idodomya kusoma magazeti na utabiri wenu uchwara umetimia

Mwana kulifind mwana kuliget
Wankyo goooooo to red sand town ukapauke
Ila kamanda Zerro ni dhaifu Sana hakyanani
Yale Yale ya Ndugai na Assad CAG
😁😁😁😁🔥
 
Back
Top Bottom