Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Alikunywa kupita kiasiKumekucha
Amemwaga hata ule ugali kiduchu aliokuwa nao
Chupa hazijawahi kumuacha kiongozi salama
Kuna mtu humu aliandika majeshi ya siku hizi yamekuwa kama magenge ya wahuni
Ndugai alijaribuKama Kuna kiongozi awe waziri, spika au jaji aliyechoka kazi, aje atamke kwamba atawania urais 2025.
Atajua hajui kabla hakujacha
Dunia hii ni sarakasi tu. anaweza akapata ubunge wa kuteuliwa, baada ya muda mfupi anapewa Wizara ya mambo ya ndaniπACP Wankyo Nyigesa Alikosa kuwa IGP ubunge kwenye Jimbo lake unamsubiri akistaafu Jeshi.
Tanzania inahitaji watu kama kina Wankyo, ambao wana uwezo wa kumchallenge boss wao.
Watakaochukuliwa hatua baada ya yeye ni wale wote walioshangilia na kucheka, baada ya hao watafuatia waliotabasamu.Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera na Wankyo amepelekwa makao makuu ya jeshi mkoani DODOMA ambapo ni mji mkuu wa tanzania.
Ila uhamisho huu umefafanuliwa kwenye barua kwamba ni ili kupisha uchunguzi, kwa hiyo ni uhamiaho huu ni kwa sababu ya βkosaβ hilo!
Alisahau kuwa askari hatakiwi kuzoka mbele ya camera, askari kulewa mbele ya camera ni sawa na kuwaambia maadui kuwa jeshi limekwenda mapumzikoAlikunywa kupita kiasi
Amiri Jeshi Mkuu bwashe.....π€£ Kuna Mkuu wa Jeshi la Wananchi, Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa Jeshi la Magereza; hayo yote ni majeshi na Mkuu wao ni Rais wa nchi maarufi kama Amiri Jeshi Mkuu.Mmmmh, JPM aliwahi kuwa mkuu wa majeshi ya wapi mkuu?
Sasa mkuu na wewe utasemaje mkuu wa majeshi?Amiri Jeshi Mkuu bwashe.....π€£
Nimefafanua zaidi mkuu.Sasa mkuu na wewe utasemaje mkuu wa majeshi?
Sipati picha hali aliyo nayo sasa huko, namwona amejifunga mipira mithili ya mnywaji wa wanzukiKiongozi muadilifu ni yule anaeacha watu waamua wenyewe kumfanya kuwa kiongozi kutokana na mwenendo wake mwema ila Watu wenye uchu wa madaraka huwa hawana uadilifu ndani yao, Wankyo kadhihirisha tamaa maana yake anaweza kufanya uhaini ndan ya jeshi
Kagera pazuri sanaHuyu afande ana akili nyingi Sana, hakutaka kwenda Kagera. Alijua akim- provoc Mkuu wake, obviously atapelekwa makao makuu. Pale ndo atajijenga na Kisha ndoto zake zitatimia.
Hivi mnapajua Kagera?! Waache waende hao waliotoka Rukwa labda watapata nafuu.
Mawazo binafsi.
Usishangae kusikia kawaumiza wengi kwa lengo la kutaka kupanda vyeoKiongozi muadilifu ni yule anaeacha watu waamua wenyewe kumfanya kuwa kiongozi kutokana na mwenendo wake mwema ila Watu wenye uchu wa madaraka huwa hawana uadilifu ndani yao