IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

ACP Wankyo Nyigesa Alikosa kuwa IGP ubunge kwenye Jimbo lake unamsubiri akistaafu Jeshi.​

Dunia hii ni sarakasi tu. anaweza akapata ubunge wa kuteuliwa, baada ya muda mfupi anapewa Wizara ya mambo ya ndani😂
 
Mbona wapo wengi tu…Zitto kwa Mbowe, Lowassa na Samwel Sitta kwa Jakaya, Ndugai kwa SSH, Membe kwa JPM, Polepole kwa SSH

Balozi Nchimbi na Sofia Simba walijaribu ku challenge Mamlaka ya Kamati kuu ya Chama pia

Binafsi namfahamu sana Wankyo…tatizo lake ni mtu wa utani na mizaha sana …aliwahi kuwa RCO Temeke…pia Singida enzi za JK

Tatizo ni ubao wa matangazo huwa unasomaje baada ya challenge?
Tanzania inahitaji watu kama kina Wankyo, ambao wana uwezo wa kumchallenge boss wao.
 
Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera na Wankyo amepelekwa makao makuu ya jeshi mkoani DODOMA ambapo ni mji mkuu wa tanzania.
Watakaochukuliwa hatua baada ya yeye ni wale wote walioshangilia na kucheka, baada ya hao watafuatia waliotabasamu.
 
Kiongozi muadilifu ni yule anaeacha watu waamua wenyewe kumfanya kuwa kiongozi kutokana na mwenendo wake mwema ila Watu wenye uchu wa madaraka huwa hawana uadilifu ndani yao, Wankyo kadhihirisha tamaa maana yake anaweza kufanya uhaini ndan ya jeshi
 
Mmmmh, JPM aliwahi kuwa mkuu wa majeshi ya wapi mkuu?
Amiri Jeshi Mkuu bwashe.....🤣 Kuna Mkuu wa Jeshi la Wananchi, Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa Jeshi la Magereza; hayo yote ni majeshi na Mkuu wao ni Rais wa nchi maarufi kama Amiri Jeshi Mkuu.
 
Kiongozi muadilifu ni yule anaeacha watu waamua wenyewe kumfanya kuwa kiongozi kutokana na mwenendo wake mwema ila Watu wenye uchu wa madaraka huwa hawana uadilifu ndani yao, Wankyo kadhihirisha tamaa maana yake anaweza kufanya uhaini ndan ya jeshi
Sipati picha hali aliyo nayo sasa huko, namwona amejifunga mipira mithili ya mnywaji wa wanzuki
 
Ila jamaa hapa kapiga pesa nzuri sana kiuhamisho,Kutoka pwani kwenda kagera,na kutoka kagera kwenda dodoma,

Na umaarufu pia kaupata......Hongera yake 😀😀😀
 
Huyu afande ana akili nyingi Sana, hakutaka kwenda Kagera. Alijua akim- provoc Mkuu wake, obviously atapelekwa makao makuu. Pale ndo atajijenga na Kisha ndoto zake zitatimia.

Hivi mnapajua Kagera?! Waache waende hao waliotoka Rukwa labda watapata nafuu.

Mawazo binafsi.
Kagera pazuri sana
 
Kiongozi muadilifu ni yule anaeacha watu waamua wenyewe kumfanya kuwa kiongozi kutokana na mwenendo wake mwema ila Watu wenye uchu wa madaraka huwa hawana uadilifu ndani yao
Usishangae kusikia kawaumiza wengi kwa lengo la kutaka kupanda vyeo
 
Back
Top Bottom