Kula Ngumu YakeAnaenda kusoma magazeti
NakaziaUsishangae kusikia kawaumiza wengi kwa lengo la kutaka kupanda vyeo
Amejaa Uroho Wa MadarakaHuyu anaweza kutamani nafasi ya amiri Jeshi Mkuu hafai kabisa
Tena Wazi Wazi Bila KifichoTanzania inahitaji watu kama kina Wankyo, ambao wana uwezo wa kumchallenge boss wao.
Saidi mwema huyuhuyu?Sirro anaongoza kundi la unpopular RPCs akifuatiwa na Mahita.
Saidi Mwema anaongoza kundi la ma RPC waadilifu.
HaaSirro acha uoga, hapo utang'oka tu
WanamkataaWankyo atapangiwa kazi chini ya uangalizi wa 0.
Ameshajua hajui, Sasa hivi hata akiwapigia wenzake simu, hazipokelewi, wengine washa m block tangu Jana.
Ndugu Zangu Majizi YapoMijizi tu hiyo
Exactly, I concur with you. Huyu katishia maslahi yake ndo maana kamchomoa.Tanzania inahitaji watu kama kina Wankyo, ambao wana uwezo wa kumchallenge boss wao.
Huyu staff officer, namkubali sana. Dada Mallya ni bonge la askari mpenda haki.RPC KAGERA TO MAKAO MAKUU
RRPC RUKWA TO KAGERA
STAFF OFF. RKW TO RPC RUKWA
Hawa ndio wanao tuharibia sifa nzuri ya huu 🌿 mmeaBangi siyo mboga Wakyo nahisi aliipuliza nyingi ikamshinda kuhimili, halafu ukizingatia ni homeboy wa Sirro wote wanatoka Kanda maalumu, na Bila Sirro Wakyo asingekuwa hapo alipo kiukweli alikosea sana Hana adabu hata angekuwa mtumishi au mfanyakazi wa sekta binafsi huo ni utovu wa nidhamu
Hata nanii atang'oka tu.Sirro acha uoga, hapo utang'oka tu
haASirro hata mwezi wa 6 hatafika na huo IGP hatakuwa tena subiri muone siafu anatoka soon, Wankyo katimiza wajibu wake