IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

Tanzania inahitaji watu kama kina Wankyo, ambao wana uwezo wa kumchallenge boss wao.
Exactly, I concur with you. Huyu katishia maslahi yake ndo maana kamchomoa.

Kuna maa RPC wa hovyo, wala rushwa, wanao "teka" raia na kuwatuhumu kuwa na makosa kisha kuwashurutisha watoe hela hata kwa kuuza Mali zao ili wajikomboe, wenye kuweka watuhumiwa mahabusu kwa kipindi cha miezi mpaka watakapo toa pesa wanazo zitaka.

Mfano hai ni BARIADI SIMIYU. Bariadi pale kuna Watu wako mahabusu toka mwaka jana. Ikitokea kuna ukaguzi kutoka Juu mahabusu wale hufichwa kwenye vituo vya pembeni na kurudishwa pindi wakaguzi wanapo ondoka, mtu anakili kosa hawampeleki mahakamani mpaka atoe pesa, uozo ni msingi pale.

Uozo wote huo Siro hauoni isipokuwa yule anayetaka nafasi yake!.
 
Huyo Wankyo kifupi anaonyesha alikuwa hataki uhamisho kwa nini yeye ndie anajua.

Anaonyesha wazi kuwa alikuwa haivi na IGP kwa nini yeye ndie anajua
Lakini ni kama mtu kaamua kuwa sihami Pwani
 
Kamanda SIRRO ni swala la muda tu.....

Hiko Cheo utakiacha.
 
RPC KAGERA TO MAKAO MAKUU
RRPC RUKWA TO KAGERA
STAFF OFF. RKW TO RPC RUKWA
Huyu staff officer, namkubali sana. Dada Mallya ni bonge la askari mpenda haki.

Alipo kuwa staff officer traffic alifanya kazi nzuri sana.
 
Bangi siyo mboga Wakyo nahisi aliipuliza nyingi ikamshinda kuhimili, halafu ukizingatia ni homeboy wa Sirro wote wanatoka Kanda maalumu, na Bila Sirro Wakyo asingekuwa hapo alipo kiukweli alikosea sana Hana adabu hata angekuwa mtumishi au mfanyakazi wa sekta binafsi huo ni utovu wa nidhamu
Hawa ndio wanao tuharibia sifa nzuri ya huu 🌿 mmea
 
Mdomo mkubwa kuliko kichwa ndio ulomponza...
 
Sirro hata mwezi wa 6 hatafika na huo IGP hatakuwa tena subiri muone siafu anatoka soon, Wankyo katimiza wajibu wake
 
Back
Top Bottom