Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mkuu kwenye swala la nyumba za ibada sio swala la kisiasa, ni swala la ki-intelijensia. Lakini hakuna ambaye ataelewa.Ni tahadhali na lazima jeshi lijipange kuzikagua ipasavyo hizi taasisi za dini zinazotoa mafunzo ya kigaidi..hatuwezi ruhusu usalama wa nchi kuhatarishwa na imani za kidini...hii ni non secular country.
#MaendeleoHayanaChama
Sina Maana Kwamba Nchi Zote Hazifanyi Hivyo Maana Yangu Ni Kwamba, Unapomwambia Mtu Kwamba twaja Ina Maana unampa alert Mapema KabisaNchi zote hufanya hivyo ni Tanzania tu tulikuwa tunaruhusu mafunzo holela ya kidini
Sina Maana Kwamba Nchi Zote Hazifanyi Hivyo Maana Yangu Ni Kwamba, Unapomwambia Mtu Kwamba twaja Ina Maana unampa alert Mapema Kabisa
Hakika, Kanisani Hakuna Chuki ya Kuona Dhehebu lingine sio Zuri Ila Upande wa Pili ndio Kuna ChukiMakanisani hawafundishwi chuki polisi watajisumbua bure kufuatilia huko
umeandika niniHawaji na uniform za kazi huwa wanakuja km waumini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata Ile Royo Tuwa ni kopi ende Pesita Kutoka Rwandaakaenda mbali zaidi kuwa hizo mbinu kajifunza Rwanda π π π
hata ubambikaji kesi amecopy Rwanda.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata Ile Royo Tuwa ni kopi ende Pesita Kutoka Rwanda
Wanakuambia ni Ndo kinachotakiwa Kwa maana ya prevention n pro active measures. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata ubambikaji kesi amecopy Rwanda.