Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea hii. Ina maana siku zoote hizo, hakukua na uchunguzi wowote kwenye shughuli hizi za kidini? Wapi nafasi ya usalama wa taifa?Wakurungwa Kumekucha
Kimsingi Mimi Sidhani kama ilikuwa ni busara IGP Sirro kutangaza adharani nia ya kufatilia mafunzo yanayo endelea misikitini na manisani.
Let say kweli baadhi wanafundisha uovu kwa watoto, je wataendelea kufundisha wakati mumewastua!?
Polisi Mnafanya watu kubuni mbinu mpya kwa kutangaza mikakati yenu mapema.
IGP Sirro Hakuwa Sahihi Kabisa.
Sasa wewe huoni kuwa IGP tayari ameshamaliza tatizo kwa kuongea tu na pasipo hata kutumia lita moja ya mafuta ya Petroli? Badala ya kumsifu unamponda tena?Let say kweli baadhi wanafundisha uovu kwa watoto, je wataendelea kufundisha wakati mumewastua!?