IGP Sirro alikuwa sahihi kutangaza mbinu za ufuatiliaji wa mafunzo ya Madrasa na Sunday School?

IMPUT ya Mzee wa Upako inahitajika pia katika kutekeleza au kutokutekeleza hili. Tafadhali naomba sana wahakikishe kuwa wamemshirikisha kutoa mawazo yake
 
Ongezea hii. Ina maana siku zoote hizo, hakukua na uchunguzi wowote kwenye shughuli hizi za kidini? Wapi nafasi ya usalama wa taifa?
 
Let say kweli baadhi wanafundisha uovu kwa watoto, je wataendelea kufundisha wakati mumewastua!?
Sasa wewe huoni kuwa IGP tayari ameshamaliza tatizo kwa kuongea tu na pasipo hata kutumia lita moja ya mafuta ya Petroli? Badala ya kumsifu unamponda tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…