IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.

Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa chief arresting officer wa Tanzania?

 
Kamanda umesahau Da' Mange alivyowasapoti!? Mkamuunga mkono. Akiguswa mnatukana...akaja Kigogo 14. Kumbe ipo siku Lissu pia mtamsaliti na kutaka afungwe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa Rais 'yupo mateka' na Majaliwa ndio anaongoza nchi.
 
Akanyage bongo aone

USSR
 
Bibi Samia ndo alikuwa anampa siri za Ikulu Mange kisha akaamia kwa KigogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kamanda umesahau Da' Mange alivyowasapoti!? Mkamuunga mkono. Akiguswa mnatukana...akaja Kigogo 14. Kumbe ipo siku Lissu pia mtamsaliti na kutaka afungwe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa Rais 'yupo mateka' na Majaliwa ndio anaongoza nchi.
Mange katumia fursa kavuta cash kwa jiwe kigogo mshamba kachezea fursa jiwe alikuwa na cash nyingi Sana ya kuchezea kigogo kachezea shilling
 
Mbona wamemshindwa Lisu na akapata ndege kuelekea duniani?

Ndio sembuse Mange ambaye yupo kwenye Authority za Marekani?

Kule Marekani umeona mama kuzungukwa na mibunduki ya makirikiri?
 
Nchi imetekwa hii....ila ukiuliza jibu lake πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Km umenuna Da Mange kupiga picha na mama hamia Burundi
 
Namnukuu Kamnada Siro
"Nasema Hivi Jinai huwa haiishi kwa hiyo usijidanganye leo ukadhani ipo siku jinai uliyotenda leo itaisha sahau nakueleza"
 
Jinai haina UKOMO. Akigusa Bongo ameumia, labda serikali itangaze kumsamehe.
 
ni manazi ya CCM tuu ndio yanayofikiri Mange kafanya kosa la jinai, hangaikeni na kesi yenu ya kubambika maana inaonekana mbowe atawatia aibu sana
 
Pamoja na kwamba Mange alimtukana Magufuli na aina yake ya uongozi matusi yote aliyoyajua yeye lakini tunaona mama Samia ambaye alikua makamu wa raisi kwa muda huo anatengewa muda wa kupiga picha na Mange.

Kwa profile ya uraisi ilivyo kubwa sidhani kama hili lilitokea kwa bahati. Wale tunaofuatilia wanasiasa tulijue hilo, mwanasiasa akishapata anachohitaji kwa oponent wake basi mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha.
 
Kama mnavosubiria kumkamata Profesa Edward ngoyai lowasa

Mahayawani makubwa nyie
 
Mange alikuwa sahihi sana kumpinga yule jamaa maana kati ya watu waliompigia kampeni mange alikuwa namba moja, hata mama mwenyewe inawezekana alikuwa hamkubali kabisa yule mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…