Bora huyo Hangaya kuliko Mwendazake na Bashite, walimpoza kwa kumpa fedha huyo mcharukoIla Hangaya kupiga picha na Mange mtu ambaye alimtukana JPM matusi ya nguoni na wakati Hangaya akiwa Makamu hii haijakaa vizuri kabisa.
Mtakula Mafi yenu, mlijua ataishi na kutawala milele yule Bwana, haya ameshavunwa sasa mnaanza undezi na uongo kutwa kucha...na badoBibi Samia ndo alikuwa anampa siri za Ikulu Mange kisha akaamia kwa Kigogo😂😂😂
Ni machozi ya Wasukuma, usituingize kwenye mkumbo wa kipumbavu.Huyu bibi kamuumiza sana jpm na machozi ya watz yatamfata Hangaya popote hadi mauti.
Hiyo tisa kumi alimtowa gerezani mbakaji na mlawiti Babu SeyaMbona JPM alipiga selfie na kale ka kiwete kabakaji kule butimba gerezani, tena akakaachia huru, ni kweli jinai haizeeki ila Dhabi huoshwa na unakuwa msafi kama theluji
Mange Kimambi hana makosa yeyote. Yule hayawani Meko au kwa sasa Mwendazake ilikuwa lazima atoke.Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.
Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa chief arresting officer wa Tanzania?
Jinai iko wapi aliyofanya Mange Kimambi? Kwa mfano aliandika Magufuli anaishi kwa kibetri alichowekewa kifuani? Au Magufuli amezaa na mdogo wa mke wake Mama Janet na kamteua kuwa DED Kongwa?Jinai haina UKOMO. Akigusa Bongo ameumia, labda serikali itangaze kumsamehe.
Hii ya mange kupiga picha na mh haipo sawa maana alimutukana san jpm nadhani jinai haifutikiNi cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.
Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa chief arresting officer wa Tanzania?
Wenye akili tulishahifunza kwa Ruto , na Odinga na kabla ya kigogo na kimambi tumeshajifunza kwa Uhuru na Ruto ,na pia kwa uhuru na Odinga. Hizo ndo siasa.Pamoja na kwamba Mange alimtukana Magufuli na aina yake ya uongozi matusi yote aliyoyajua yeye lakini tunaona mama Samia ambaye alikua makamu wa raisi kwa muda huo anatengewa muda wa kupiga picha na Mange. Kwa profile ya uraisi ilivyo kubwa sidhani kama hili lilitokea kwa bahati. Wale tunaofuatilia wanasiasa tulijue hilo, mwanasiasa akishapata anachohitaji kwa oponent wake basi mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha.
Kwani mtu huwezi kumtukana Raisi na kumpenda makamu? Raisi Magufuli ahukumiwe mwenyewePamoja na kwamba Mange alimtukana Magufuli na aina yake ya uongozi matusi yote aliyoyajua yeye lakini tunaona mama Samia ambaye alikua makamu wa raisi kwa muda huo anatengewa muda wa kupiga picha na Mange. Kwa profile ya uraisi ilivyo kubwa sidhani kama hili lilitokea kwa bahati. Wale tunaofuatilia wanasiasa tulijue hilo, mwanasiasa akishapata anachohitaji kwa oponent wake basi mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha.
Kama Anavyosalitiwa mwendazakeKamanda umesahau Da' Mange alivyowasapoti!? Mkamuunga mkono. Akiguswa mnatukana...akaja Kigogo 14. Kumbe ipo siku Lissu pia mtamsaliti na kutaka afungwe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa Rais 'yupo mateka' na Majaliwa ndio anaongoza nchi.
Sioni Kosa hata kidogo kwani Ni Rais wa wote na bahati mbaya Yule kalala chato hukoPamoja na kwamba Mange alimtukana Magufuli na aina yake ya uongozi matusi yote aliyoyajua yeye lakini tunaona mama Samia ambaye alikua makamu wa raisi kwa muda huo anatengewa muda wa kupiga picha na Mange. Kwa profile ya uraisi ilivyo kubwa sidhani kama hili lilitokea kwa bahati. Wale tunaofuatilia wanasiasa tulijue hilo, mwanasiasa akishapata anachohitaji kwa oponent wake basi mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha.
Da Mange hide my id....mwisho wa kumnukuu mtoa siri.Bibi Samia ndo alikuwa anampa siri za Ikulu Mange kisha akaamia kwa Kigogo😂😂😂
Kamanda umesahau Da' Mange alivyowasapoti!? Mkamuunga mkono. Akiguswa mnatukana...akaja Kigogo 14. Kumbe ipo siku Lissu pia mtamsaliti na kutaka afungwe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa Rais 'yupo mateka' na Majaliwa ndio anaongoza nchi.
Mfuateni si unauwezoAkanyage bongo aone
USSR
Jinai haina UKOMO. Akigusa Bongo ameumia, labda serikali itangaze kumsamehe.
Ndio maana wamekua kimya sana kipindi hiki cha mama. Hasa Kigogo amebadilika sana. Sio yule wa zama za Magufuli.
Anadai amekua matured baada ya mama kuingia ikulu
Sijapanic Mangi. Nimeeleza ukweliumepanic mkuu