IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

Juzi kapiga picha na amiri jeshi wake mkuu Tena akiwa na Bango. Huku uswahilini pozo ruksa ukiwa na bunduki aisee
 
Alikuwa mkosoaji wa Magu sio jamhuri,Ya Magu yashapita tunaganga yajayo hatufukui makaburi
 
Kamanda umesahau Da' Mange alivyowasapoti!? Mkamuunga mkono. Akiguswa mnatukana...akaja Kigogo 14. Kumbe ipo siku Lissu pia mtamsaliti na kutaka afungwe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa Rais 'yupo mateka' na Majaliwa ndio anaongoza nchi.
Huyo siyo kamanda wa CHADEMA, ni chawa wa kawaida tu wa hapo Lumumba!
 
Namnukuu Kamnada Siro
"Nasema Hivi Jinai huwa haiishi kwa hiyo usijidanganye leo ukadhani ipo siku jinai uliyotenda leo itaisha sahau nakueleza"
Jina ukomo wake Ni miaka 28. Baada ya hapo unaweza kwenda hata ikulu kunywa chai na mzee wa remote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…