heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Kaitiwa nini ila nec hawana mamlaka ya kumkamata muhalifu kwanini lisu akusanye watu usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumtenganisha TL na wapiga kura Ili aende kituo Cha polisi kuhojiwa, ni kuhatarisha amani ya kituo Cha polisi na usalama wa raia. TL analindwa na escort 4 na kundi la zaidi ya watu elfu kwa wakati mmoja.kumuita polisi IGP hujaitakia polisi haki. Ili kuweka mambo sawa muite wewe kwenye kituo Cha polisi nawe uwepo kituoni hapo uone Hali halisi. Raia wako frustrated kimaisha na wamekatwa tamaa wanaona suluhu ni TL. Polisi tumieni hekima kwa hili .Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.
Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.
"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro
View attachment 1587125
IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro, amri hiyo inatokana na IGP kuwatuhumu baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na matendo mbalimbali ambayo wanayofanya.
Akifafanua suala hili IGP Sirro amesema "Nimeona matukio kadhaa yakifanyika na Viongozi wa Chadema, wamekuwa wakikaripia na kuwagombeza Askari Polisi. Nimeona mara kadhaa Tundu Lissu anagombana na Viongozi wa Polisi".
"Jana nimeongea na Kiongozi wake Bwana Mbowe akae na viongozi wake wazungumze suala la kutii sheria bila shuruti. Anayoyafanya Watanzania wenye hekima na Wazalendo wanaona. Lissu hayuko juu ya sheria polisi tukiamua kutimiza wajibu wetu asilalamike na chama chake. Vyama vipo karibu kumi na mbili, Jeshi la Polisi limepewa wajibu wa kulinda watu na mali zao ndani ya nchi hii, yeye hana uwezo wowote wa kupambana na Jeshi la Polisi."
"Asije akafika mahali akawa na kiburi akadhani ana uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi. Niwasihi sana na niwaombe sana ndugu zetu wa Chama cha Chadema hii tabia iishe. Tundu Lissu aende akaripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro ili aende akaeleze aliyoyafanya jana. Lakini niwaombe wanasiasa na Viongozi wote katika ngazi zote. Suala la Udiwani, Ubunge, Urais bila amani na utulivu huwezi kufanya siasa na huna uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi wewe kama wewe. Kwahiyo tuheshimu sheria zilizopo ili tuchague viongozi tunaowataka lakini inaonekana kuna ajenda ya siri ambayo viongozi wachache wanayoitaka ili uchaguzi usifanyike. Nawaambia uchaguzi utafanyika lakini itafika mahala tutawashughulikia sana."
Mbona anatufokea?Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.

Hata Faru John mlikuwa mnasema hivyo tu. Subiri siku atakapotwangwa huyo kilema wenu. Msianze tena kulialia. Ngoja ashindwe uchaguzi tarehe 28/10/2020 alete cha kuleta wampelekee bomu moja tu tuone kama atakimbia na kamguu kake hako kafupi. Unakumbuka mabomu ya Arusha ya mwaka 2010 au 2011? Lissu alijificha wapi?
Mhhh! Umenikumbusha Mrs. Masumbuko kwenye Sarafina!Jeshi haliwezi kuwashinda wananchi. Hata siku moja. Watashindana lakini hawatashinda.
Kufa ni kufa tu wewe! Kila mtu amepangiwa siku yake ya kufa hata ufanyeje siku yako ilishapangwa!Ndugu hujafa hujaumbika ucwe poyoyo ww
IGP tuambie wapi aliko saanane, azory, kangoye,Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.
Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.
"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro
View attachment 1587125
IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro, amri hiyo inatokana na IGP kuwatuhumu baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na matendo mbalimbali ambayo wanayofanya.
Akifafanua suala hili IGP Sirro amesema "Nimeona matukio kadhaa yakifanyika na Viongozi wa Chadema, wamekuwa wakikaripia na kuwagombeza Askari Polisi. Nimeona mara kadhaa Tundu Lissu anagombana na Viongozi wa Polisi".
"Jana nimeongea na Kiongozi wake Bwana Mbowe akae na viongozi wake wazungumze suala la kutii sheria bila shuruti. Anayoyafanya Watanzania wenye hekima na Wazalendo wanaona. Lissu hayuko juu ya sheria polisi tukiamua kutimiza wajibu wetu asilalamike na chama chake. Vyama vipo karibu kumi na mbili, Jeshi la Polisi limepewa wajibu wa kulinda watu na mali zao ndani ya nchi hii, yeye hana uwezo wowote wa kupambana na Jeshi la Polisi."
"Asije akafika mahali akawa na kiburi akadhani ana uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi. Niwasihi sana na niwaombe sana ndugu zetu wa Chama cha Chadema hii tabia iishe. Tundu Lissu aende akaripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro ili aende akaeleze aliyoyafanya jana. Lakini niwaombe wanasiasa na Viongozi wote katika ngazi zote. Suala la Udiwani, Ubunge, Urais bila amani na utulivu huwezi kufanya siasa na huna uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi wewe kama wewe. Kwahiyo tuheshimu sheria zilizopo ili tuchague viongozi tunaowataka lakini inaonekana kuna ajenda ya siri ambayo viongozi wachache wanayoitaka ili uchaguzi usifanyike. Nawaambia uchaguzi utafanyika lakini itafika mahala tutawashughulikia sana."
You are a true man.Wewe huna saizi yoyote ile. Wala saizi yangu mimi huijui. Usijipendekeze.
Saizi zako weye ni kubwatuka tu mitandaoni kwa ujira kiduchu!
Hata kukujibu wewe ni kama nimekupa tunu. Nimelazimika tu kwa sababu ulitema pumba.
Just a little warning: Usirudie kujifanya wewe ni saizi yangu. Uache kujishongondoa.
Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
[/QUOT
Huyo kibaraka wa mabeberu aende haraka sana akaripoti polisi, huku NEC inamsubiri, ngoja tuone huyu kibaraka ataishia wapi. Na Watanzania hawana simile ile 28.10.2020 lazima wamkate vibaya mno.
Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
[/QUOT
Kufa ni kufa tu wewe! Kila mtu amepangiwa siku yake ya kufa hata ufanyeje siku yako ilishapangwa!
Sheria ya 'Kuwafokea' viongozi wa Police..[emoji16][emoji16][emoji16]Kavunja sheria gani, mbona wana weweseka?
Si anajilengesha mwenyewe hao wote ñi wapiga kura atakosa kura zaoHuku NEC, Huku Msajili, Huku Polis Huku CCM ..Wote mishale yao inaelekea kwa Lissu ...