Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Kaitiwa nini ila nec hawana mamlaka ya kumkamata muhalifu kwanini lisu akusanye watu usiku
 
Kumtenganisha TL na wapiga kura Ili aende kituo Cha polisi kuhojiwa, ni kuhatarisha amani ya kituo Cha polisi na usalama wa raia. TL analindwa na escort 4 na kundi la zaidi ya watu elfu kwa wakati mmoja.kumuita polisi IGP hujaitakia polisi haki. Ili kuweka mambo sawa muite wewe kwenye kituo Cha polisi nawe uwepo kituoni hapo uone Hali halisi. Raia wako frustrated kimaisha na wamekatwa tamaa wanaona suluhu ni TL. Polisi tumieni hekima kwa hili .
 
Usitutishee....mkamateni muone mtakavyoshukiwa na dunia nzima...
 
Mbona anatufokea?
 
Ndugu hujafa hujaumbika ucwe poyoyo ww
 
IGP tuambie wapi aliko saanane, azory, kangoye,

Nani alkmteka Mo?
 
You are a true man.
 
Mamlaka za wanadamu haziwezi kuzuia mpango wa Mungu Lissu amelala juu ya Jiwe Kuu. Amini Amini nakuambia Lissu anakuwa Rais wa nchi hii. Heri yao wabunge wa CCM watakaoshinda majjimboni kwa haki kuliko waliopita bila kupingwa kwa mizengwe. Uchaguzi wa marudio hawatakuwa tena wabunge. Yanayotokea kwa sasa ni muendelezo wa vyama tawala vya Afrika kuachia utawala kwa ugumu lakini vitaachia hata CCM inaenda kuachia. Sarakasi zinazoendelea ni kama ng'ombe anayechinjwa bila kufungwa kamba anaweza kukupiga mateke na kukujeruhi lakini atakata roho tu.
Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
[/QUOT
 
Huyo kibaraka wa mabeberu aende haraka sana akaripoti polisi, huku NEC inamsubiri, ngoja tuone huyu kibaraka ataishia wapi. Na Watanzania hawana simile ile 28.10.2020 lazima wamkate vibaya mno.

Propaganda za UBEBERU hazina nafasi wala mashiko safari hii.
Nchi unaxozitegemea kiuchumi, Kiulinzi, Kiafya na Kiteknolojia huwezi kuzibeza kwa kuziita ati Mabeberu....!!
Unless you're talking He-goats(mabeberu ya mbuzi) mainly for some hot soup!!!
 
Mamlaka za wanadamu haziwezi kuzuia mpango wa Mungu Lissu amelala juu ya Jiwe Kuu. Amini Amini nakuambia Lissu anakuwa Rais wa nchi hii. Heri yao wabunge wa CCM watakaoshinda majjimboni kwa haki kuliko waliopita bila kupingwa kwa mizengwe. Uchaguzi wa marudio hawatakuwa tena wabunge. Yanayotokea kwa sasa ni muendelezo wa vyama tawala vya Afrika kuachia utawala kwa ugumu lakini vitaachia hata CCM inaenda kuachia. Sarakasi zinazoendelea ni kama ng'ombe anayechinjwa bila kufungwa kamba anaweza kukupiga mateke na kukujeruhi lakini atakata roho tu.
Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
[/QUOT
 
Sawa hlo lipo wazi bt hakuna anaeweza furahia madhila ya bnaadamu mwenzie vyvyote itakavyokuwa
Kufa ni kufa tu wewe! Kila mtu amepangiwa siku yake ya kufa hata ufanyeje siku yako ilishapangwa!
 
Polisi,NEC, CCM
MNACHOWAFANYIA CHADEMA NA WATANZANIA WOTE .WATU WOTE MAKINI NA WENYE HEKIMA WANAONA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…