Naikumbuka siku hiyo Bashite alipomtuhumu IGP Sirro kula rushwa, mbona alitulia kama maji ya mtungi. Leo anataka kupambana na Mh. Tundu Antiphas Lissu, mbona huku ni kutafuta sifa tu naye aonekane yumo? Anaweza akadhani anapambana na mtu moja lakini asisahau umati wa Watanzania walio nyuma ya Mh. Lissu.Pumba tupu. Ndio maana makonda alikutuhumu kula rushwa ya shisha maana alishakuona kamanda wa maneno mengi yasiyo msingi.
Yaani ndiyo mnavyoamini!!Siro atakapo pigwa pingu na kupandishwa ndege yy na bosi wake kuelekea uholanzi wasiseme hawakuonywa.
SuperimposedHahahaaa faru John.View attachment 1587196
Ujue yeye ana Jeshi akitoa amri wewe ndiyo utaumia na wala siyo huyo Lissu yeye atakjmbilia Ubelgiji au na wewe tayari una uraia wa Ubelgiji.Naikumbuka siku hiyo Bashite alipomtuhumu IGP Sirro kula rushwa, mbona alitulia kama maji ya mtungi. Leo anataka kupambana na Mh. Tundu Antiphas Lissu, mbona huku ni kutafuta sifa tu naye aonekane yumo? Anaweza akadhani anapambana na mtu moja lakini asisahau umati wa Watanzania walio nyuma ya Mh. Lissu.
Kamuulize Sirro.
Lissu kawashika pabaya mmebaki kutoa macho tu.Ujue yeye ana Jeshi akitoa amri wewe ndiyo utaumia na wala siyo huyo Lissu yeye atakjmbilia Ubelgiji au na wewe tayari una uraia wa Ubelgiji.
Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.
Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.
"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro
IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro, amri hiyo inatokana na IGP kuwatuhumu baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na matendo mbalimbali ambayo wanayofanya.
Akifafanua suala hili IGP Sirro amesema "Nimeona matukio kadhaa yakifanyika na Viongozi wa Chadema, wamekuwa wakikaripia na kuwagombeza Askari Polisi. Nimeona mara kadhaa Tundu Lissu anagombana na Viongozi wa Polisi".
"Jana nimeongea na Kiongozi wake Bwana Mbowe akae na viongozi wake wazungumze suala la kutii sheria bila shuruti. Anayoyafanya Watanzania wenye hekima na Wazalendo wanaona. Lissu hayuko juu ya sheria polisi tukiamua kutimiza wajibu wetu asilalamike na chama chake. Vyama vipo karibu kumi na mbili, Jeshi la Polisi limepewa wajibu wa kulinda watu na mali zao ndani ya nchi hii, yeye hana uwezo wowote wa kupambana na Jeshi la Polisi."
"Asije akafika mahali akawa na kiburi akadhani ana uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi. Niwasihi sana na niwaombe sana ndugu zetu wa Chama cha Chadema hii tabia iishe. Tundu Lissu aende akaripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro ili aende akaeleze aliyoyafanya jana. Lakini niwaombe wanasiasa na Viongozi wote katika ngazi zote. Suala la Udiwani, Ubunge, Urais bila amani na utulivu huwezi kufanya siasa na huna uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi wewe kama wewe. Kwahiyo tuheshimu sheria zilizopo ili tuchague viongozi tunaowataka lakini inaonekana kuna ajenda ya siri ambayo viongozi wachache wanayoitaka ili uchaguzi usifanyike. Nawaambia uchaguzi utafanyika lakini itafika mahala tutawashughulikia sana."
View attachment 1587125
Huku ndiyo kutukana polisi?Alihutubia watu usiku. Baada ya saa 12 jioni.
Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
Nilitegemea IGP atoe ufafanuzi wa inshu ya Tundu Lisu kushambulia...vitu vya kijinga vinatokea tz tuuuNEC, police, bado wasiojulikana. Huu mwaka tutaona mengi. Lazima nyoka atoke pangoni.
Baada ya uchaguzi tunataka tuwaonyeshe mabeberu yenu kuwa msaliti Lissu hatumpendi kama wanataka wampeleke akagombee kwao.Fanyeni leo mmeshindwa nini nyang'ao
Lissu amefanya kosa gani?Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.
Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.
"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro
IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro, amri hiyo inatokana na IGP kuwatuhumu baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na matendo mbalimbali ambayo wanayofanya.
Akifafanua suala hili IGP Sirro amesema "Nimeona matukio kadhaa yakifanyika na Viongozi wa Chadema, wamekuwa wakikaripia na kuwagombeza Askari Polisi. Nimeona mara kadhaa Tundu Lissu anagombana na Viongozi wa Polisi".
"Jana nimeongea na Kiongozi wake Bwana Mbowe akae na viongozi wake wazungumze suala la kutii sheria bila shuruti. Anayoyafanya Watanzania wenye hekima na Wazalendo wanaona. Lissu hayuko juu ya sheria polisi tukiamua kutimiza wajibu wetu asilalamike na chama chake. Vyama vipo karibu kumi na mbili, Jeshi la Polisi limepewa wajibu wa kulinda watu na mali zao ndani ya nchi hii, yeye hana uwezo wowote wa kupambana na Jeshi la Polisi."
"Asije akafika mahali akawa na kiburi akadhani ana uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi. Niwasihi sana na niwaombe sana ndugu zetu wa Chama cha Chadema hii tabia iishe. Tundu Lissu aende akaripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro ili aende akaeleze aliyoyafanya jana. Lakini niwaombe wanasiasa na Viongozi wote katika ngazi zote. Suala la Udiwani, Ubunge, Urais bila amani na utulivu huwezi kufanya siasa na huna uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi wewe kama wewe. Kwahiyo tuheshimu sheria zilizopo ili tuchague viongozi tunaowataka lakini inaonekana kuna ajenda ya siri ambayo viongozi wachache wanayoitaka ili uchaguzi usifanyike. Nawaambia uchaguzi utafanyika lakini itafika mahala tutawashughulikia sana."
View attachment 1587125
Mumeshambiwa safari hii zikipigwa tatu zikakukosa kale ugali wa motoJeshi haliwezi kuwashinda wananchi. Hata siku moja. Watashindana lakini hawatashinda.
Ataambiwa na DPPLissu amefanya kosa gani?